Mnyika na Mdee wafanya Makubwa

Mnyika na Mdee wafanya Makubwa

Kwa kashifa nziito aliyokuwa nayo Madabida ya ARV feki,watu wamekufa kwa kupewa dawa feki,sikutegemea kama angekuwa na madaraka yoyote ndani ya Chama,lakini hiyo ndiyo CCM......hiyo ndiyo Tanzania.
Kwani hujui kuwa hiko chama kinasomeka kwa aka Chama cha Mauaji?

Ndiyo maana hawaonagi taabu, wakishirikiana na policcm, kurusha mabomu ya machozi na wakati mwingine hadi kutumia risasi za moto, kwenye maandamano ya vyama vya upinzani, hususani Chadema na CUF, kama ambavyo walivyomuua Daudi Mwangosi, kule Mufindi İringa na kama vile walivyowalipua wa mabomu wafuasi wa Chadema hadi kusababisha vifo, kwenye mkutano wa amani wa Chadema huko Soweto Arusha.

Vile vile kama mauaji ya wafuasi wa CUF kule Pemba miaka 14 iliyopita, ambapo Tanzania kwa mara ya kwanza katika historia yake iliweza kuzalisha wakimbizi, waliokimbilia Mombasa Kenya.
 
M/kiti wa CCM anahusika vipi kwenye ukataji utepe wa uzinduzi wa barabara
 
katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......

Sasa matusi ya nini, utakunya sana miwono mwaka huu... peopleeee's!!!
 
huo ndio utumishi uliotukuka kwa wananchi,kudos
POWER TO THE PEOPLE.
 
makundi mabaya sana ndani ya ccm ..hivi iliwezekana vipi kumnyima kura ..john guninita na kumpa ramadhani madabida ....ambaye ana kesi ya mauwaji ya waadhirika wa ukimwi mahakamani .....
Watu wauwaji sana ..anapewa tenda ya kuwatengenezea waadhirika virutubisho vya ukimwi ....anawasagia placebo ya unga wa maharage anaweka kwenye mfumo wa vidonge na kuwapa ...ili tu apate fedha ........watu wanameza wanaendelea kudhoofu na mamia wamekufa hata kabla ya muda wao na kuwaacha mayatima ..
Anapata wapi hata uso wa kusimama hadharani ...mtu kama huyo ..?? Unamteteaje ....nani hapa familia yake haijaathirika kwa ukimwi kwa namna moja au nyingine .....nchi nyingine angenyongwa mchana kweupe hata na ndugu wa waliotumia dawa zake feki
 
KILA SIKU NASEMA BAVICHA MNAONGOZWA NA BANGI+GONGO..
huu ujenzi wa barabara ni UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM na ahadi za raisi alizozitoa kipindi cha kampeni.
sasa kwa akili yenu ya bangi na mnavyopenda kijitekenya na kujicheka wenywewe, mnajidanganya ''ETI NI JUHUDI ZA MNYIKA NA MDEE''
Hahahahahaaaaa mimi ndio maana nawadharaaaaaaauuuuuuuuuu.
hivi huyu mnyika ana kipi kitakachosikilizwa na serikali mpaka kitekelezwe??? au msagaji wenu wa kawe anaweza kuishawishi nini serikali ikatekeleza matakwa yake???
acheni upumbavu
 
Chadema nimpango wa Mungu ndio ameleta Tanzania

Kamanda,
Chadema inahitaji kutawala nchi,maeneo mengi kuanzia wenyeviti wa vijiji,viyongoji, na Madiwani wamefanya makunwa sana,kuliko waliotawala tangu 1961
 
Mnyika pambana na tatizo la maji na Mdee pambana na maji machafu yanayotiririka mto Mlalakua pamoja na matatizo ya ardhi.

Wanaowatukana hawajui watendalo!
 
Huo ni mfano tu CHADEMA tukishika dola tutaibadili nchi, mafisadi watakimbia na taifa litakuwa chini ya wazalendo wa nchi hii. Mungu ibariki CHADEMA, UKawa na wana wa nchi. Amina.
 
KILA SIKU NASEMA BAVICHA MNAONGOZWA NA BANGI+GONGO..
huu ujenzi wa barabara ni UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM na ahadi za raisi alizozitoa kipindi cha kampeni.
sasa kwa akili yenu ya bangi na mnavyopenda kijitekenya na kujicheka wenywewe, mnajidanganya ''ETI NI JUHUDI ZA MNYIKA NA MDEE''
Hahahahahaaaaa mimi ndio maana nawadharaaaaaaauuuuuuuuuu.
hivi huyu mnyika ana kipi kitakachosikilizwa na serikali mpaka kitekelezwe??? au msagaji wenu wa kawe anaweza kuishawishi nini serikali ikatekeleza matakwa yake???
acheni upumbavu
Sasa kama ni serikali ndiyo inayopaswa kusifiwa kwakuwa inatekeleza ilani yake iweje tena mnaumlaumu Mnyika kwasababu ya kero ya maji ya Ubungo badala ya kuilaumu serikali?
 
Sasa kama ni serikali ndiyo inayopaswa kusifiwa kwakuwa inatekeleza ilani yake iweje tena mnaumlaumu Mnyika kwasababu ya kero ya maji ya Ubungo badala ya kuilaumu serikali?
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA. Serikali imeamua kwa makusudi ispeleke maji ubungo ili 2015 mnyika ang'oke na NAKUHAKIKISHIA huyu dogo anang'oka tena kirahisiiiiiii
 
Prof. Magembe kamshikisha adabu mnyika, kuropoka kwake ndo kulimponza naona sasa kajirudi kaanza kupata misaada ila kawa uchochoro wa kupigia hela, chezea wasomi wewe?
Wewe ni msomi kama profesa Maghembe au profesa maji marefu?
 
Back
Top Bottom