Recent content by nyamiroto

  1. N

    JamiiForums Tanzania POLISI: Marufuku kukohoa pale unapopishana na mwanamke mwenye makalio makubwa, hilo ni shambulio la aibu tutakukamata

    Dahh, Kamanda Upo sawa ila umetoa mtihani mgumu ,wengine ni wagonjwa .Ni vizuri kina mama ambao Mungu amewapa upendeleo wangejihifadhi mtafunga watu wengi sana kwa mitazamo ya namna hii.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Mwisho utafika tu,serikali ni yetu sisi ndiyo tulioichagua na ni sisi ndiyo wenye maamuzi muda ukifika.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa akamatwa na Polisi. Ni baada ya kuomba radhi

    Shida IPO kwa yule mama mtu.Yeye ndiyo amemkosea mwanae.Na hata huyu FATUMA hapaswi kulaumuwa muongo yeye kaambiwa na mama mtu.Zinaa kina mama acheni mtaua watu bure.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Madola

    Kwani aliemtuma kumwakilisha si anatosha,tatizo lipo wapi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU)

    Hata wakienda Umoja wa Ulaya hatutishiki kwa kuwa,Serikali ya awamu ya tano haitegemei msaaada wa wazungu.Tuliposema hapa kazi tu ,hatukuwa tukitania.Tunamshukuru Mungu kilio chetu amekisikia tumepata Rais anaetosha.Sasa nyinyi mnaepinga subirini muone kazi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bakhresa group punguzeni udini

    Mtoa mada una data kamili na hoja yako hii? Au una jambo lingine? Akina James na John nao wapo kule weka data ili tukuelewe.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop yangu bei poa

    Chukua TSHS 200,000/-
  8. N

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Hakuna cha kushangaa kwa CHADEMA kwani mtindo ni kule kule wa kubadili gia hewani/angani
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    ANGALIA Quran na Biblia ipi inabadilika?inayobadika badilika ndiyo project ya binadamu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Iyunga, Mbeya: Ajali ya gari la Polisi (FFU)! Wawili wafariki dunia na tisa wajeruhiwa

    Poleni sana wafiwa,na majeruhi Mungu awape afueni.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Iyunga, Mbeya: Ajali ya gari la Polisi (FFU)! Wawili wafariki dunia na tisa wajeruhiwa

    Poleni sana wafiwa,na majeruhi Mungu awape afueni.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama hiki ndicho Lowassa alichoitiwa Ikulu, Then tuna Rais wa ajabu! Kama ni Uongo, Lowassa ashitakiwe kwa Uchochezi!

    Majibu ya Mh Lowasa hayana ukweli kwa kuwa ,kwa sasa Lowasa siyo tishio kwa CCM
  13. N

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

    Imeshatembea km ngapi?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

    Imeshatembea km ngapi?
Back
Top Bottom