Hivi tunavyoongea, huyo MREMA yupo anashirikiana na baadhi ya watu hapo CHADEMA makao makuu kuchakachua majina ya madiwani wa viti maalum. Tafadhari, msitukatishe tamaa maana hayo munayoyafanya ndiyo ya CCM!MREMA ananyoshewa vidole kuanzia uteuzi wa wagombea majimboni, viti maalum Ubunge na...
Mtoa mada yupo sahihi. CHADEMA imepoteza majimbo mengi kwa sababu ya ujanja ujanja wa makao makuu. Nasikia kuna Mtu anaitwa Mrema...ni mzuri kwa kupindisha mambo last minute. Lipo pia Jimbo la Kyerwa, alieteuliwa awali kugombea Ubunge ni tofauti na mtu aliekuja kugombea. Matokeo yake...Jimbo...
Bwana Kahangwa
Wewe ni Jembe, kwa hiyo songa mbele uwakomboe wana-Karagwe.
Ila maelezo yako kidogo yanajikanganya. Mfano, utawezaje kujenga hospitali ya Wilaya ya Kyerwa, wakati wilaya yako ni Karagwe? Pia, unasema utaondoa vizuizi barabarani ili Kahawa iuzwe nchi za nje, kwa maana ya...
Ukweli, nilikuwa ninampenda na kumuamini sana mama Tibaijuka, ila baada ya kuona yumo kwenye mgao wa fedha za sisi walipa kodi, sitaweza tena kurudisha upendo kwa mama.
Hakika, mama hata afanyeje hawezi kujisafisha. Ule mgao wa fedha, yeye kapata sawa na mzee Andrew Chenge tena siku moja...
Mhe. Yericko, ushauri wako ni mzuri kwa ustawi wa Taifa letu. Ninapenda kukufahamisha kuwa TISS ipo imara kuliko tunavyodhani baadhi yetu. Mambo mengi unayoyaona yanatendeka au yanaendelea kutendeka, wakubwa "wenye nchi yao" ushauriwa kabla au wameishashauriwa, juu ya athari au faida zake...
Mkuu, nani kakwambia kuna ushindani kati ya nchi hizi mbili? Kenya walipokuwa wanauana, mbona hukusema? Ni kweli Tanzania inasusua kwenye usafiri wa Anga, ila kuna baadhi ya mambo wako vizuri kuliko nchi nyingi Afrika, na Kenya ikiwemo. Ninawasilisha!
Ni wazo zuri sana, ila kwa sheria zetu ni vigumu kuwa na Taasisi kama hayo.
Bovya hiyo link ili upitie: http://polis.parliament.go.tz/PAMS/docs/15-1996.pdf
(The Tanzania Intelligence and Security Service Act, 1996)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.