Recent content by Nyamchobela

  1. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Napokea order na kuuza Mikoba ya kisasa

    Jumla unauzaje mkuu
  2. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Napokea order na kuuza Mikoba ya kisasa

    Jumla au rejareja? Sh. Ngapi? Na uko wapi
  3. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Bila Kuchunguza hii Rushwa ya Bunge, bora ivunjwe

    Hili lahitaji detailed research.. fununu zitatuumiza tu
  4. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Duh, siasa bana Sent from my SM-T815 using JamiiForums mobile app
  5. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Viwanja na mashamba vinauzwa

    Sio mwenyeji sana wa huko, vipi Magari yanafika? Kama daladala hasa hivo viwanja vya ilala
  6. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Ko Alikuwa anasubiri Uchaguzi uishe ndo arudi, na vipi kuhusu pesa anazodhaniwa kuzipokea
  7. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    Hii Kali Y Karne asee, Balaa tupu.
  8. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Hii Thread ni ya toka 2011, ila nmeipenda sana, nmepata vingi, maana na mimi nafikiria kuanzisha shamba hilo hilo mitaa ya mkuranga, sehem baada ya Chanika. kichanga ni kizuri, ila sina uhakika kuhus Mvua. Shukrani wote kwa huu uzi.
  9. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

    Wamevamia kweli au ndo yale mazoezi yao maana hatuwaelewi siku hzi
  10. Nyamchobela

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya yatokea eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Kivipi Mkuu, navojua academic bridge hakuna barabara ya magari,
Back
Top Bottom