Mtoa mada pia atanisaidia...
Uchovu mwingi=ubongo umetumia energy nyingi kwenye kufikiria ama kufanya kazi Fulani. Inatakiwa pia uwe unapata muda wa kupumzika au kumeditate(kumeditate Kuna kufanya uwe na uwezo wa kubalance pumzi na kutuliza mawazo, mara nyingi ukiimaster hii, unajikuta...
Kuna movie Moja hivi inaitwa A MAN FROM EARTH ya zamani kidogo, jaribu kuitazama, Kuna kitu inafundisha. Na Kuna swali inakuacha nalo, ambalo ni je! Utakuwa nani kama ukweli ukiwekwa wazi na kujikuta unachoamini sivyo kilivyo.
Me nadhani inakuwepo siku zote, ila kama hakuna trigger inakuwa silence, ukii trigger inatokea. Ila kwa hii mada hapa tunayoijadiri, Kuna stage ukifikia unakuwa una uwezo wa kutazama mawazo yako na kuyapima na kuamua reaction au kutofanya reaction yoyote. So ukipata mwongozo mzuri hakuna hisia...
Ego ni kama mfumo wa ulinzi binafsi, Kuna mtu unakuta anajua Siri Fulani ya mafanikio, akiona wengine wanaijua, anajaribu kuuliza maswali ya kimkakati, ili yule ambaye hajui chochote akija kusoma aone ni kama changamsha genge TU, asiende deeper kutafuta zaidi.
Sasa ananufaika vipi, ni Ile kutaka...
Ukiona mtu anaweka kikwazo basi ujue anajua haya mambo, ila Bado ego hajaiachia hivyo hataki wengine wafunguke. Kwa maana nyingine, hataki watu wengine wajue Siri.
Pia kumuona MUNGU ni kama kuona ulimwengu wote kwa mara Moja, ndo mana anasema huwezi kumuona ukaiishi, kwa maana nyingine hakuna kiumbe alichokiumba, kinaweza kustahimili kuona ulimwengu wote kwa wakati mmoja.
Note; MUNGU ni chanzo Cha Kila kitu, kumuona ni sawa na kuona Kila kitu kwa wakati mmoja.
Natamani kuelezea kitu Lakini nashindwa namna ya kuelezea. ila kiukweli kila unachofanya I we kibaya kwa namna ya ufahamu wako, ama iwe unaona ni Chema kwa ufahamu wako, vyote hivyo vilishapangwa tayari na hakuna namna unaweza kukwepa..
Mfano ktk biblia imeandikwa kwamba Yesu alijua kwamba...
🤯.. Kati ya vitu ambavyo huwa sivitaki hata kuvisogelea, kumhudumia mgonjwa mwenye PF3.. In case ukikutana na maswali kama hayo na hauna uelewa wowote wa mambo ya sheria, na haujajipanga vzuri unaweza kujikuta kama wewe ndo mtuhumiwa au mtu ambaye haelewi nn anafanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.