Recent content by Nyamboboy

  1. Nyamboboy

    Kuhusu NMB wakala

    Habari za wakati huu. Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa wateja wetu.Nashindwa kuelewa kwa nini bank hii inawakata wateja hela kutwa wakiwa wanatoa pesa ila sisi...
  2. Nyamboboy

    Mzunguko wa noti bandia mkoa wa Iringa

    Nitaweka picha kesho
  3. Nyamboboy

    Mzunguko wa noti bandia mkoa wa Iringa

    Natamani niweke picha hapa za hizo noti
  4. Nyamboboy

    Mzunguko wa noti bandia mkoa wa Iringa

    Kuna mzunguko mkubwa sana wa noti fake kwa mkoa wa Iringa(hasa wilaya ya Iringa huku Pawaga) Naomba Serikali kupitia vyombo vyake ifuatilie hili jambo. Inasemekana kuna wanunuzi wa mpunga waliingia na noti hizo wakaziingiza kwenye mzunguko. Ukiwa na noti tano za elfu hukosi noti moja isiyokuwa...
  5. Nyamboboy

    Kuhusu matokeo ya kidato cha sita mwaka huu 2023

    Habari ndugu zangu, Nianze kwa kuwapongeza wale wote waliofanya vizuri mitihani yao ya kidato cha sita. Niwapongeze pia walimu na wazazi bila kuwasahau walezi wa wanafunzi wetu hao. Niende moja kwa moja kwenye kiini cha mada hii. Kama taifa hatuna budi kujadili kuhusu mwenendo wa elimu yetu...
  6. Nyamboboy

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Gari yang ilikuwa inakosa nguvu mlimani,ila miss hakuna...fundi akatoa masega ikawa poa,saa hivi mwendo mdundo...ilkuwa toyota probox
  7. Nyamboboy

    Extra-port charges (imported car)

    Lete uzi huo mzee,mwaka jana nimepigwa kama milioni kutoa gari bandalini (nje ya kodi ya TRA).Gari ilikuwa Toyota probox
  8. Nyamboboy

    Kuhusu Semina za Walimu wa Sayansi, Hesabu (Sekondari)

    Semina ni siku tano,kila siku laki moja(100000)
  9. Nyamboboy

    Kuhusu Semina za Walimu wa Sayansi, Hesabu (Sekondari)

    Habari za mda huu wadau, Nianze kwa kuwasalimia wote na kuwapa pole mihangaiko ya hapa na pale(Ishu ya bandari na kupotea kwa Esther). Nirudi kwenye mada,kuna hizi semina za walimu wa science na mathematics(kwa shule za sekondari) zimekuwa zikiendelea nchi nzima na kwa saa hizi nahisi zinafika...
  10. Nyamboboy

    Msaada wa clearing gari aina ya Toyota probox

    Nashukuru sana kiongozi, kuna gharama za ziada zimeongezeka ndio maana nikawa nauliza. Asante kwa mchango wako.
  11. Nyamboboy

    Msaada wa clearing gari aina ya Toyota probox

    Husika na mada hapo juu, Mwenye uzoefu au kampuni ya kutoa magari bandarini naomba anisaidie gharama ya kutoa gari tajwa hapo juu. Asante
  12. Nyamboboy

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nilikuwa hapa alhamisi
Back
Top Bottom