Honestly mimi siyo mshabiki wala adui wa Mlongo Ila ulichoandika, ni wazi kuwa wewe ni mtu nambari moja unayeamini mambo ya Sangoma na ni MTU unayesitahili kupuuzwa katika posts zako zote!!!
Huoni hata aibu na Lowasa wako????
Akili imegandiana na Lowasa!!!!
kuna chochote cha kumkumbukia Lowasa, huoni akina, Mnyika, Lissu na akina Mdee Lowassa hayuko tena vinywani mwao???
Shame on you....
Wakuu, kwa jinsi post ilivyo, mimi sijapata ujumbe ambao Mdee kasema kupelekea timbwili hilo ila watu mnamchangia kama vile mmeelewa nini Mdee kasema...
Namtabiria Kubeana atazikunja ngumi nje au ndani ya Bunge maana kesha panic baada ya Chama chake kukumbatia Fisadi wakati akijua kuwa yeye alikuwa mstari wa mbele kuuaminisha umma!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.