Recent content by nyamasaka

  1. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Mihogo mibichi husababisha uzezeta

    L P
  2. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo

    Mi nimekuelewa
  3. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Jina lako la kichawi

    Please mshana msaada, Cursed Enchantress. Au Morag Mccackle Sent using Jamii Forums mobile app
  4. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro azungumzia kuhusu Kibiti, kutekwa watoto na shambulio la Lissu na ofisi za IMMMA

    Nahisi wengi hawakumuelewa Lissu, kwa mujibu wa maelezo yake anawatuhumu Siro na Kipilimba wao ndo wametuma watu. Swali hivi sirro asipotenda haki unapeleka taarifa zako kwa nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro awajibu waliosusia maiti ya kijana aliyeuawa akihisiwa kuwa jambazi

    Msiwe mnatetea upumbavu, sawa Huyo kijana alikua jambazi ndio, kulikua na ulazima gani wa kumuua mtuhumiwa? Halafu wanajisifia kabisa
  6. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Mimi nivbonge la bashite kazi ipooo
  7. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Utata: Uvamizi wa clouds FM

    Hivi bashite mwenyewe alishawahi kukanusha tukio hilo?kama mwenyewe kakaa kimya wakati anajua kasingiziwa wewe nani ukanushe? Achane kukuza mambo mtatolewa video Nzima mshindwe la kasema . Ruge kaamua kumstahi angalau kidogo wewe unakuja kuchongoa mdomo hapa
  8. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatukai na Rais wetu live na kumuhoji mambo mbalimbali katika TV kama Kenya?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtoa Mada hadi sasa unatakiwa upitiwe na noa, tafadhali sogea tongwe records mwenyewe, hatutaki usumbufu,.
  9. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Nadhani ujumbe umefika, hakuna tena mwingine atakayekuja na 'single' ya kejeli kwa viongozi

    Ukiona mwanaume umetukanwa na akakimbilia kutumia jeshi kumtesa alie mtukana , jiulize akipigwa kofi Kama Mwinyi, si atatumia ndege za kivita kabisa? Ushauri Wa bure , Mpeleke hospitali haraka, Mwehu hajipeleki hospitali.
  10. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kama Rais anaona Bunge ni kikwazo kwake, tufanye uchaguzi upya. Hii si Gangsters Republic

    Kama umemsikiliza JPm hadi wisho utamuelewa zitto.
  11. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania USHINDI WA 2020 UMEPATIKANA LEO

    Mkuu na wewe unatusomesha?!!!! Acha basi unazidi kutuchanganya mkuu.
  12. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Mahojiano Baina ya JamiiForums na Rais Magufuli

    Hapana sio kweli, angekua humu asingekua alivyo mkuu.
  13. nyamasaka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

    Kwikwikwiiiiii, tehteheteheeeeee, Nakufa mimi. Duh mkuu niache mi bado nina hamu ya kuzima namba kwa kijerumani. Usiniueee kwa kucheka.
Back
Top Bottom