Recent content by nyamakonya

  1. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NHIF itoe ufafanuzi, kwanini kadi za bima zinachelewa kutoka kwa wanafunzi wa vyuo

    Tupate majina ya Chuo kwa ajili ya taarifa na utatuzi
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilio cha vibarua viwandani

    Ukitaka msaada usiandike kwa ujumla orodhesha majina ya viwanda, sehemu vinapopatikana ikiwezekana jina la mmiliki wa kiwanda na vitua anavyo fanya ili iwe rahisi kusaidika
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu wa kunifundisha Kingereza Arusha

    Nakupataje kiongoz Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu wa kunifundisha Kingereza Arusha

    Ninahitaji ku improve Kingereza changu kwa sababu nafanya kazi sipati muda wa kujiunga na chuo. Kwahiyo nilikuwa nahitaji msaada wa kupata mwalimu wa kuwa ananifundisha hasa wakati wa jioni. Niko Arusha. Nahitaji msaada wenu. Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mama yangu alifariki huku akijua simpendi

    Kwa sababu umeshatambua kosa na umejutia basi piga magoti kwa imani tubu kwa mungu wako hakika mungu ni mwenye kusamehe, baada ya hapo usiwe na mashaka moyoni mwako amini umesamehewa, na ishi maisha yako ya kawaida kabisa kama hukuwai kutenda jambo Hilo maana shetani anaweza kutumiwa kigezo Cha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Mtoa Uzi acha makasiliko alikua kapangiwa kufanikia wa namna hiyo angeokolewa ndugu yako usingesema hayo yote
  7. N

    JamiiForums Tanzania Polisi walilia Mishahara na Posho kazini

    Mtoa post naweza kupata namba yako kwa maelezo zaidi na kwa msaada
Back
Top Bottom