Ngoja tumkumbushe mleta mada.
Mwaka 1979 mwalimu aliyapokea majeshi yetu yaliyotoka vitani Uganda katika vita ya kumuondoa nduli Idi Amini aliyekuwa ameivamia sehemu ya nchi yetu huko Kagera katika mji wa Mwanza.
Shughuli hii Ilikuwa ya kitaifa lakini haikufanyika makao makuu ya nchi kama mleta...
Hakika mkuu umenena vizuri, kwamba Nape na Januari tuwachukulie wana sifa za kuzidi vijana wengine walioko ndani ya CCM na wanaomuunga mwenyekiti wao katika kuwatumikia watanzania kuondokana na umasikini na shida zinazowakabili wananchi ni kujidanganya.Na sioni namna watakavyotoka tena kwenye...
Kukatishwa haiwezi kuwa sababu ya kukunja ndita na kuongea kusiko na staha mbele ya kiongozi wako.Hata yule askari mpelelezi alikatishwa katishwa alipogusa ishu ya usomali lakini alitulia hicho kikwazo akakivuka.
Jamaa anaonyesha ni mbabe balaa mle gerezani.Akataka kuuonyesha hata kwa mkulu...
Nani ana confidence sasa! Yule askari magereza alipanic, huwezi sema namna alivyokuwa anaongea ni kujiamini huko.Kama kuna mtu ameongea kwa kujiamini ni yule msomi yule yanki wa magereza katiririka vizuri mpaka mkulu kaguswa moja kwa moja na aliyoongea.
Hajaitendea haki rank yake.Hakuonyesha...
Mmezidisha chumvi kuwasifia hawa jamaa. Hao watu hatari, sugu wanafikaje huko gerezani? Kumbuka mtu mpaka kufikia kufungwa ni hatua zipi zinakuwa zimepitiwa hapo katikati.
Katika mkondo wa sheria gereza ni chombo cha mwisho kumshughulikia mkosaji.Wapo waliomkamata, amekaa sero za polisi...
Mtoa mada lengo lako ni kuonyesha chuki zako dhidi ya Makonda,Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar hicho kituo cha polisi huko Buhige anahusikaje hapo? Kwamba yeye ndiye anayegawa pesa za Serikali kwenda kwenye idara/taasisi zake.
Kigoma ina mawaziri,wabunge, maarufu kabisa katika nchi hii vipi...
Kwa nini na yeye anamng'ata anayemlisha acha ashughulikiwe!!!,tulishaambiwa na watu humu ndani dunia ina kanuni zake,namshauri Profesa afuate kanuni za dunia.
Ina msumbua nini kwani ameibeba kichwani, si bure huyo anatafuta kiki.Kama upelelezi ulikamilika tangu 2017 kwa nini kesi imerudi nyuma, kwani hakimu ana mamlaka ya kusikiliza makosa ya uhujumu uchumi bila kibali cha DPP, kama DPP hajatoa kibali yeye inamhusu nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.