Recent content by Nyamagondo

  1. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hizo nchi nyingine zina waasi na magaidi kasoro Tz
  2. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mzee elimu ya Bongo pana saana kwa mtu aliefika high school tena michepuo ya sayansi. Tumesoma vitu viiiingi mzee. Mimi mwenyewe huyo tiagesi wako naweza mchalenji na ka microbiology kake, nyie ni Kiingereza tu cha Kijaluo
  3. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahaa yule jamaa Mkenya ikabidi tumtaftie ka manzi ka Kinondoni ndo kakaanza kumkataza kukaa kishamba na kuvaa manguo na ma viatu ya kishamba. Hawa jamaa sjui ni vp wanazidiwa hata na Warundi kwa Swag
  4. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huo ni uchafu mzee na ni ushambaa, hivi wewe kwa mfano gari yako ya ku bang kitaa unaweza kuifanya hivyo..pisi gani utaibeba labda ukabebe mabwabwa ya Kimombasa. Kubalini tuu sanaa hamuijui Pokots wakubwa nyie
  5. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Washamba ni nyie hahahaaa kuna mwamba mmoja nilipiga nae kazi ni Mkenya anaitwa Ongoma asee alikua mshamba kikudaa. Yaani nyie bora hata wa Ug
  6. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ushamba tuu..mziki wenyewe hamuujui. Mkenya unataka kunifundisha mimi kuhusu muziki. Hujui toka shule ya msingi sisi twafundishwa mziki. Art muijulie wapi ninyi..unamjua Tingatinga wewe
  7. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ni sawa ukutane na mhuni kajichora mwili mzima inakua inakera hata kumtazama
  8. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Duu hawa jamaa mbona wanachafua mabasi yao hivi na marangi rangi! Yaan kulitazama hilo gari tuu kichwa kinauma, ukilipanda sasa na miziki ile ukishuka si unakua mahututi kabisa
  9. Nyamagondo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kigoma pia
  10. Nyamagondo

    Hivi East Zuu ni wapi?

    Ni Mazengo complex
  11. Nyamagondo

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    Kama usipojali mkuu unaweza kutumwagia hapa huo mchakato wa kuunda biblia ulifanyika vipi na ulifanywa na mapadri, maparoko au maaskofu gani wa Kikatoliki kwa majina kabisa. Naamini kama nikweli utawapata kwa maana Katoliki ni kanisa lililo makini saana ktk kuweka kumbukumbu. Natanguliza shukurani.
  12. Nyamagondo

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    Kwa hiyo ndugu Paroko unataka kunambia maandiko ya Biblia takatifu yamebuniwa na Waromani Katholiki? Hicho ndicho nimekihoji kulingana na alivyo sema ndugu hapo
  13. Nyamagondo

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    Hahahaaaa mkuu nakusoma mkuu
  14. Nyamagondo

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    Unaposema tuu ya kua Biblia ni kitabu kilichobuniwa na Wakatoliki najua na kuhakikisha bila shaka uelewa wako wa Biblia ni mdogo saana. Wewe mtu vipi asee yaani akina Yohana walifukuziwa kisiwani Patmo wakavuviwa maandiko halafu wewe uje useme eti maandiko ya biblia yalibuniwa na Wakatoliki hawa...
Back
Top Bottom