Recent content by nyamabhi

  1. N

    JamiiForums Tanzania TBC sasa yawafungia wengi uhuru wa kuona BUNGE live

    nilidhani kadishi kangu kameharibika kumbe ni njama mbovu! CDM CDM PEOPLE'S POWER X 2. TUNAKUMBUKA, TAREHE 5 , MWEZI WA KWANZA ELFU MBILI KUMI NAA MOJAAAAAAAAAAAAA. ARUSHAAAA.................................. TUKOMAE NA HAYA MANYANG'AU 20014 NA 2015
  2. N

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Mungu wangu! Hivi wamachinga ni aina gani ya wanyama? Mamalia, reptilia au amfibia? Hawana faida kama yule faru wa jk au yule mzungu mmoja aliyeuwawa kulee serengeti. Wakubwa hawawezi kugawana vitalu vya wamachinga. Eh jamani! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee's!!!!!!!!!!!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa ubunifu huu....CHADEMA Itaweza kutoa elimu bure katika ngazi zote

    Elimu bure inawezekana. Mbona libya com. Gadafi aliweza?
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wapokea msaada wa milioni 400

    Ni maoni yake kikatiba. Ila ajua ukweli. CDM ni chama cha UKOMBOZI halisi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nasari Anajuta...

    bwana wee, labda iliitisha mkutano wa gizani sasa tutajuaje
  6. N

    JamiiForums Tanzania Geita: Wassira na Mwema watimuliwa

    Wasira anajua nini zaidi ya kutumika? 2005 salm ahmed si mtanzani,si ukabila huo? 2010 slaa katumwa na kanisa, uchaguzi mdogo igunga, cdm wamvua mkuu wa wilaya baibui badala ya kilemba, si udini huo? Kikwete hakuyajua hayo? Na je, alisema nini? Sisi si wajinga hata kidogo! Naomba watanzania...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Picha na matukio: Ziara ya Mama Salma Kikwete Lindi Mjini

    Salima hana umakini bali ushabiki tu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Picha na matukio: Ziara ya Mama Salma Kikwete Lindi Mjini

    Umeona enh, hawa jamaa wanajidanganya tu. Kivumbi 2015. Tujiandikisheni jamani ili tupige kura
  9. N

    JamiiForums Tanzania Picha na matukio: Ziara ya Mama Salma Kikwete Lindi Mjini

    Yeye awape tu kwani naamini anajisumbua. Arudi akamfulie mmewe au akafundishe siasa hawezi. Pia naona ni bibi wazee ndo wengi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CHADEMA katika mkutano maalum kwa siku mbili

    kila laheli katika mkutano wenu!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Urgent:job opportunities world vision tanzania:

    mfa maji haachi kutapa, mgagaa na upwa hali wali mkavu. tusikate tamaa jamani tukaze buti ipo siku tutafanikiwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    Tusubirie tu kwani lazima ajira zitatoka japo tutasota kweli!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    Nawapongeza sana BAVICHA na wasimuonee haya mtu yeyote mwenye lengo la kukivuluga chama kumbukeni matumaini pekee ya watanzania kupata mabadiliko ya kweli ni kwaCDM!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Lap top hp inauzwa!

    WEKA PICHA YA BIDHAA. PIA NAMI NAMTAFUTA MAGAMBO MWANZITOKA 16.12.2012. ALISAFIRI NA BUS LA MOHAMED TRANS TOKEA MUSOMA KWENDA DAR ES SALAAM. ALIVALIA RABA NYEKUNDU,SHATI MIKONO MIREFU DRAFT NYEUSI NA NYEUPE, SURUALI KITAMBAA KHAKI NA MKOBA MWEUSI. HAONGEI VIZURINA PIA ALIKUWA AMENYOA KIPARA...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu CCM Mwigulu adoda MWANZA

    Watanzania tunayo macho,akili na ufahamu. Mwigulu we komaa ila muda si mrefu utaisoma namba
Back
Top Bottom