Recent content by Nyama Choma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

    Chemsha bongo ya Prof. Jize ni moto wa kuotea kwa mbali saana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ndoto unazoota huenda ni onyo na tahadhari juu ya kinachokuja kukutokea kwenye maisha yako yajayo usizipuuze

    Na sisi tunaoota ndoto afu ukishtuka usingizini huikumbuki inakuajee??
  3. N

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Gharama za uwanja wa Arusha zimeongezeka baada ya CAF kusema tuongeze Vitu

    Aache ujinga huyu jamaa, amekula vya kutosha na sasa kavimbewa anatubeulia uharo tu hapa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe na Magufuli ni yupi kiongozi Bora na Mahiri

    Acha kumfananisha Mh. Magufuli na vitu vya hovyo hovyo bana, alaaaaa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Ujumbe wa Rais Magufuli ni kunitaka nirejee CCM, ila nilikataa

    Jibu lingekuja 'sikuwapa taarifa'... Swali jingine please
  6. N

    JamiiForums Tanzania Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

    Wapo wengi tu sema inahitaji utulivu kuwapata. Mi niko mikoani ila ukizungumzia Mo Town unanikumbusha mgegedo tu, nilishakamua sana.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla afanya ziara kliniki ya ForePlan, awapa Polisi masaa 24 kumkamata Tabibu Mwaka

    Hata mimi nashangaa....badala ya kwenda MOI kule kina dokta Nchimbi wanazingua kufanya oparesheni hadi utoe pesa ndefu wanakomaa na Mwaka Tuuu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Apigae Hodi ..............?

    Hodi humu ndani wajameni... Ni mimi ndugu yenu Nyama Choma naomba kwa heshima na taadhima mnikarishe ndani niweze kushiriki nanyi katika ujenzi wa taifa letu changa sijui litakuwa kubwa lini? Nikaribisheni jamaniiiii!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom