Recent content by Nyam

  1. Nyam

    House4Sale Nauza nyumba yangu Kivule Kwa Wamakonde 22 mil

    Nyumba bado ipo... Karibuni sana
  2. Nyam

    Nauza nyumba Kivule kwa wamakonde kwa Tshs. 22,000,000

    Habari wana JF Nauza nyumba yangu kwa 22mil kwenye eneo lenye ukubwa wa sq 500 imepauliwa na bati la msauzi mgongo mpana ila sijaendelea na chochote baada ya hapo... Ila ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala kimoja masta, sebule, dining, public toilet,bafu na jiko. Umeme na maji vyote vipo jirani...
  3. Nyam

    Natafuta kazi yoyote halali

    Unaweza kuuza bidhaa kama izi kwa malipo kadiri unavyouza, kwa bajeti yangu ni malipo ya 150,000 kwa mwezi, ingawaje ukitaka kulipwa kwa wiki pia inawezekana kulingana target tulizowekeana... Bidhaa yenyewe ni dagaa fresh za kukaanga kutoka Mwanza kuja Dar...Kama zinavyoonekana hapa...
  4. Nyam

    Natafuta kazi

  5. Nyam

    Kijana 24 natafuta kazi yeyote

    Habari kaka, mimi nina bidhaa zangu za dagaa za kukaanga zimepakiwa tayari kwa kuuzwa popote kwa malipo ya commission unaweza kufanya kazi iyo.??...0657940974
  6. Nyam

    Natafuta vijana wa kuniuzia dagaa za kukaanga kutoka Mwanza

    Wapendwa wana JF, Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri tu... Ili mradi bidhaa zangu ziuzike, nawatamani sana wale vijana wanaoweza kuuza barabarani kwenye...
  7. Nyam

    Nataka kuwa Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?

    Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?
  8. Nyam

    Anamtafuta mama muhasibu aliyestaafu kutoka TRA afanye nae kazi

    Habari wanajf, Kuna rafiki yangu ana kampuni yake anamtafuta mama ambaye ni muhasibu lakini ni mstaafu kutoka TRA afanye nae kazi kama General manager wake... Anayemfahamu aniinbox tafadhali...Eneo ni Dar
  9. Nyam

    Natafuta tenda ya kufanya malipo kwenye kampuni binafsi, vikundi n.k kwa bei nafuu kabisa

    sorry nilisahau kukuuliza kama wewe ni kaka au dada mana sehemu nyingine huwa wanachagua gender...
  10. Nyam

    Natafuta tenda ya malipo ya mishahara ya wafanyakazi kwenye kampuni, vikundi au mtu binafsi n.k

    Habari wana jf, Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online...
  11. Nyam

    Natafuta tenda ya kufanya malipo kwenye kampuni binafsi, vikundi n.k kwa bei nafuu kabisa

    Computer ninayo nyumbani, na ninaweza kufanya vyote nikiwa popote pale...
  12. Nyam

    Natafuta tenda ya kufanya malipo kwenye kampuni binafsi, vikundi n.k kwa bei nafuu kabisa

    Habari wana jf, Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online...
  13. Nyam

    Natafuta tenda ya kufanya malipo mbalimbali kwenye kampuni binafsi,kikundi n.k

Back
Top Bottom