Natafuta tenda ya kufanya malipo kwenye kampuni binafsi, vikundi n.k kwa bei nafuu kabisa

Nyam

Senior Member
Jul 9, 2012
128
225
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online banking or otherwise kwenye kampuni,vikundi au mtu binafsi kwa bei ya kawaida kabisa kama part time....Nakaribisha maoni .....Niko serious.
 
Dingirii

Member
Aug 16, 2019
28
45
All the best dada wangoja waje.. hila namimi naomba connection nipate kazi uko kwenye makampuni natanguliza shukran (samahani kwakutoka njee ya mada)
 
Nyam

Senior Member
Jul 9, 2012
128
225
All the best dada wangoja waje.. hila namimi naomba connection nipate kazi uko kwenye makampuni natanguliza shukran (samahani kwakutoka njee ya mada)
Una elimu gani na experience ya muda gani?
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
5,885
2,000
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online banking or otherwise kwenye kampuni,vikundi au mtu binafsi kwa bei ndogo kabisa kama part time....Nakaribisha maoni .....Niko serious.
Ni wazo zuri kuliangana na taaluma yako; ningekushauri kwanza kabisa uwe na internet na computer nyumba then utafute kazi ya payroll service provide yaani "Gross to net pay calculations + payment of employees and related statutory payments".

Hilo la tenda ya kufanya malipo ni ngumu; hakuna huduma kama hiyo.
 
Computer ninayo nyumbani, na ninaweza kufanya vyote nikiwa popote pale...
 
Nyam

Senior Member
Jul 9, 2012
128
225
All the best dada wangoja waje.. hila namimi naomba connection nipate kazi uko kwenye makampuni natanguliza shukran (samahani kwakutoka njee ya mada)
sorry nilisahau kukuuliza kama wewe ni kaka au dada mana sehemu nyingine huwa wanachagua gender...
 
Kibabu chenye pesa ndefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2019
320
250
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online banking or otherwise kwenye kampuni,vikundi au mtu binafsi kwa bei ya kawaida kabisa kama part time....Nakaribisha maoni .....Niko serious.
lazima wewe ni mmama wa mtoto mmoja
 
Top Bottom