Recent content by nyakubonga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Huyo binti yenu amepata nini kwa kusababisha kifo chake? Mtu anavunja emotional limit ya mwanaume akitarajia nini? Kwamba bwana Kweka angekaa chini akalia machozi halafu akahama kwake?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Kweka ni mwanamume halisi, he is the real gentleman and you are indeed an asshole... Gademit, ni mwanaume gani anaweza kumuua mwanamke anayempenda bila sababu... Yaani unatumia sababu moja ku jurge maamuzi ya mwanaume mwenzako?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

    Mtu anayeacha mshahara wa 1m bila kujali mazingira ya kazi, lazima ana option nyingi... Utakuta ana biashara zake kariakoo au baba yake ana supermarket za kutosha... Mtoto wa fukara unaanzia wapi kuacha kazi ya mshahara huo bro! Huyu jamaa hawezi kujuta.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Ungekuwa ni wewe ungebadilisha hati, ukaweka jina lake ili kuepuka matatizo sio?
  5. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Asante kwa ufafanuzi brother.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Dah sawa mwanetu... Kuna demu unamfukuzia hapa ndani brother?
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Kama una elimu ya kuanzia Diploma, kwa sheria mpya unakaa miezi mitatu ndio unaenda kufanya mchakato... Kama elimu ni chini ya hapo, nafikiri hawanaga sababu ya kusubiri zaidi ya mwezi mmoja... Wataalamu watanisahihisha.
  8. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Nafikiri mifumo inasomana kaka.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mh makonda asijenge muslim University badala ya msikiti wa zaidi bilion 2 pekee?

    Nafikiri Makonda ali calculate risk kabla hajatangaza ujenzi wa msikiti... Ingekuwa aibu ya aina yake, kiongozi wa serikali isiyo na dini kujenga miundombinu ya elimu au afya kwa ajili ya kundi moja bila ya kundi lingine kupiga kelele... Kama waisilamu wanahitaji hospitali au vyuo vikuu kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mh makonda asijenge muslim University badala ya msikiti wa zaidi bilion 2 pekee?

    Habari kaka, heshima yako... Kwanini waislamu wajengewe taasisi ya elimu katika nchi isiyo na dini? Nafikiri msikiti ni sawa, na hakutakuwa na malalamiko upande wa pili... Vuta picha jamaa angetangaza anajenga hospitali au chuo cha waislamu mtafaruku ungekuwaje?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Kwa mfano story ya kansa ni kweli na huyu bwana angefanya kama mkewe alivyotaka... Unaijua next step ya mkewe? Unajuaje kama lengo la mkewe ilikua kumtimua akauguzwe na wazazi wake huko Moshi? Mimi naamini Kweka sio mwehu, uamuzi aliochukua alilazimishwa kihisia na mkewe.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Brother hakuna cha real man hapa... Tunazungumzia uhalisia, usi act gentleman kwenye mambo yanayokuuwa taratibu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Mimi jibu ninalo mkuu... Kama story ya kansa ni kweli, jamaa yuko sahihi kuuwa... Watu watakubishia kwasababu wengi hawajaanza utafutaji, hawajaoa au wamepata mali kwa nguvu za wake zao... Imagine unapambana kila siku kutafuta pesa ili familia iwe na kwao na wakati huohuo mke wako ana kipato...
  14. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Kwa nchi kama Tanzania hili swala linawezekana.
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Hilo ni takwa la Sheria brother hawajipangii... Hiyo pesa lazima itahamishiwa huko uliko.
Back
Top Bottom