Recent content by nyakrere

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Usiwe mpuuzi upinzani ni kwa faida ya nchi na maendeleo yake.Tunahitaji upinzani wenye nguvu ili kuleta maendeleo.Nchi inahitajika itoke hapa ilipo kwa manufaa yetu sote.Tusiendekeze ushabiki usio na tija
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

    Mbona huzumzii wasukuma mbona wamepiga kura kikanda tuache kuwa biased tuwe fair. Tukianza kuwazungumzia watu wa Kaskazini kiubaguzi mambo hayatakuwa sawa.kwani ni dhambi kuchagua chama kikingine ambacho si ccm.mbona kule ambako ccm wamechukua majimbo yote hatusemi kuwa wamepiga kikanda.this is...
  3. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA imeshindwa vibaya na sasa wanataka kujikosha

    Mbona huna hoja tofauti ya kura ni ndogo sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waarabu wabaya sana, CUF na Wazenji wanataka kurudisha waarabu

    Huo ni ubaguzi usio na sababu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Acha matusi toa hoja sio bla bla za kitoto.
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtamkumbuka Zitto na Slaa, CUF hawataisahau CHADEMA

    Huyo ni msaliti hafai kuwa kiongozi wa kisiasa popote hapa nchini.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Majimbo walioshinda CHADEMA ni uwekezaji wa Slaa na CHADEMA asilia

    Si kweli hayo ni matokeo ya ujio wa Lowasa.Kama Dr Slaa ndio angekuwa mgombea upinzani ungepoteza majimbo mengi sana na nguvu ingepungua sana.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

    Mbona unakata tamaa
  9. N

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Nina mashaka sana na takwimu anazotoa Mh January. Tumepoteza majimbo kadhaa kwa Chadema.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Wewe sio mkweli mbona wametangaza dawani wa ilala na dawani wa Jangwani
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tetesi wasira amepigwa chali
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Kwa nini unasema hivyo. Kila mtu ana haki ya kumchagua anaemtaka inawezekana wewe ndio umeharibu kura
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    It was mis calculations tungepata taarifa hizo mapema zingesaidia kidogo.Ila ni vigumu kuhalalisha Richmond kuwa ni wizi bila kusema escrow ni nani.Jana ningefurahi sana kama mkuu wa nchi angetuambia escrow ni ya nani.maana wizi wa escrow ni mkubwa kuliko wa Richmond.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Mimi sio ukawa mimi ni ccm kindakindaki lakini penye ukweli lazima tuseme
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Impunity nchini imedhihirishwa jana na kiongozi mkuu wa nchi kwa kutuambia Lowasa alikuwa hakamatiki anaogopwa na kila mtu kiasi kwamba tunasubiri uchaguzi ndio tumshitaki kwa wananchi.Kwa maoni yangu ni kwamba hotuba ya jana imemjenga zaidi Lowasa kuliko kumbomoa. Atapata kura nyingi leo kwa...
Back
Top Bottom