Recent content by nyakoromwita

  1. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Nimemharibu mpenzi wangu ila yote kasababisha mwenyewe

    Jinga kabisa hukujua kuwa hapo sipo unaingiza tu we subiri hukumu
  2. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Kanidanganya kasafiri kumbe yupo na mwanamke mwingine

    Sasa huyo boy ni Kabila gan???? Then nikueleze
  3. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

    Achaa uongooo aliyekutuma cv nani?
  4. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    Acha waseme ni sawa tu
  5. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka adhibitiwe, ataisambaratisha CCM

    Na bado wataumbuka tu waache matumbo tu! !!
  6. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Don't Shout Argue - Mbowe ameitendea haki falsafa hii

    Mbowe ni jembe ametoa data halisi ila sasa hawa wa ccm wakipitisha tufanyejeeeeeee wananchi nupeni jibu
  7. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

    Hizi ni hisia zangu mwenyewe mwingine hausiki kabisa huyu mtangazaji Zuhura yunus napenda Sauti yake na anamapozi mazuri na nadhani wazazi wake walimtunza vizuri kitabia Hongera sana.jambo la pili kitambaa anachovalisha kichwani wee acha.Radio na tv za kibongo sijaona kabisa Hongera saaaana...
  8. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anasa Mawasiliano ya siri kuhusu utafiti uliofanywa na TWAWEZA

    Hakuna cha utafiti jamani ni kupeana sifa tuuuu ili mambo Yao yaende sawa.
  9. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

    Achana na ndodi yuko sawa kabisa acha atupatie neno la Mwenyezi
  10. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya habari Ikulu na daktari wa rais wanatakiwa kuwajibishwa kwa hili

    Kuhoji ni muhimu kama hunahitaji la kuhoji wewe achaaaaaaaa!
  11. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari yatokea hospitali ya Muhimbili

    Pole kwao hao waliopata ajali
  12. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania 40 Images of Dubai; The city of Eccentricities

    Nakwambia kama tungepewa Majimbo Tarime ni Dubai ndogo kwani madini mengi yapo hata hapa ninapoishi nimekaa juu ya dhahabu
  13. nyakoromwita

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Sasa inatosha tufanye maamuzi sahihi
Back
Top Bottom