Ni muda wa takriban dakika ishirini zilizopita gari ndogo aina ya tax (private) yenye namba T306AGX imegonga watu wawili katika round about iliyogo nje ya hospitali ya taifa Muhimbili. Waliogongwa ni kijana mdogo wa makamo ambaye alishindwa hata kunyanyuka kwa zaidi ya dakika tano ambaye aliumia na kukimbizwa Emergency, pamoja na baba wa makamo ambaye pia ni mlemavu.
Chanzo cha ajali hiyo ni dereva kushindwa kuimudu kona round about na hivyo kwenda nje ya barabara upande wa kushoto na kuwagonga wahanga hao.
Kwa bahati nzuri hakuna aliyefariki, na dereva amekimbiziwa kituo cha polisi.