Recent content by nyakinongele

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

    Dawa ya babu ni kutomjibu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wafariki kwenye mkutano wa CCM uwanja wa Jamhuri Morogoro

    Watakua walichoka Kwa uchovu wa kusombwa na malori kama ng'ombe wanapelekwa mnadani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Asubiri kura za hayo mafuriko ya kutengeneza pia atasema kura zimetengenezwa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Ccm must goooooo hata angekuwa magufuli, Rose migiro,makamba hatuna tena muda hata mwaka mmoja wa kujaribisha ccm, tuna vitambulisho tu vya kupumzisha tena m
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kutoonekana majina ya watu katika daftari la awali la kupiga kura

    Tume washughurike na tatizo hilo mapema iwezekanavyo, tafadhalini sana coz tulitumia zaidi ya cku nne tukiwa folen tena tusipige na kura? Kwanza kuhakiki walipaswa kufanya tume
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hapa Lowassa ataweza kweli!

    Ona sasa hata kuwaza Kwa sauti kumbe ni shidaaaah!!!
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What happens, sielewi..!

    Jaribu kumshirikisha Mungu kwanza uone hajawahi kushindwa jambo lolote, kamwe hata Kwa hili. imani yako tu kwake!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha Magufuli ni Ilani ya CCM

    Atawalinda wazee ni wazee gani hao ataowalinda magufuli mkuu,?
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kazi ni Kwa UKAWA kuchukua nchi wakishaelewana tuu ngoma inogileeee
Back
Top Bottom