@balimar nakushukuru sana. Huu naamini utakuwa mjadala mzuri sana. Nimependa wazo lako ni nimelichukua na kulitupia katika group moja la walimu ili niweze kusikia mawazo yao pia.
Mjadala mzuri. Mimi binafsi nashindwa nichangie namna gani sababu SHERIA yenyewe inayoianzisha TTPB sijaiona.
Naomba kama kuna mdau anayo aitupie hapa tuweze kuimwaga.
TUMWACHE JPM APUMZIKE
Taifa lilipatwa na msiba mzito tarehe 17 Machi 2021 kwa kupotelewa na kiongozi wake shupavu, Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli. Kwa hakika, huu ni msiba mzito kwa taifa. Ni msiba mzito kwa sababu haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu rais...
Habari za leo wataalamu wa sheria. Kabla sijaandika swali langu, naomba niweke wazi kabisa kwamba mimi si mjuvi wa mambo haya ya sheria. Lakini kama rais mwema, napenda sana kujifunza maswala mbalimbali ya kisheria.
Swali langu ni: Je, mikataba ya serikali (yaani serikali inapoingia mkataba...
kungu1. I have a 65cm zuku dish and a DBS zuku decoder with preprogrammed satellites but I want to add more satellites in the decoder. Is it possible? If yes. how can I go about it?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.