Hii Serikali ni vilaza,hakuna wakumshauri Pombe wote waoga kama fisi,Pombe yuko kama greda hivyo anapaswa kuwa na MTU smart wakuweza kumshauri Raisi,sasa wote wanaomzunguka ni wapenda Sifa kuliko kula ,athari yake itakuja kuoneka baada ya miaka miwili,Kauli mbiu ya hapa kazi tu "" bila kutumia...
KWANINI CHADEMA WAMEMCHUKUA LOWASSA??
(Kama una akili ndogo usisome) Mnamo mwezi February mwaka huu Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) waliingia ubia na kampuni maarufu duniani inayojihusisha na tafiti za siasa (Political Research) ijulikanayo kama Greenberg Quinlan Rosner.( Greenberg Quinlan...
Mungu Mwema hakika Mwaka huu hichi kiukoo cha panya lazima kiondoke...,CHADEMA nikama Msikiti au kanisa wote wenye dhambi huja kutubu na kuwa watu wema na hii ni kwasababu,ya mfumo thabiti na Imara wa CHADEMA katika kuwatumikia Watanzania.
Zito ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine,hv anafikiri Watanzania hawajui ujinga wake anao ufanya huko Tanzania??? Mimi ni Mtanzania naishi Namibia najua upuuzi anaoufanya Zitto waote ipo siku atajutia maamuzi yake yakutaka kuua upinzania.PUMBAVU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.