Kiponda, Zanzibar: Majengo mawili yaungua moto usiku huu (Jan 19, 2016)!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Kiponda, Zanzibar - Majengo mawili yanaungua moto sasa hivi!

Eneo hili lina skuli, Makao ya waislam madhehebu ya shia na hoteli

eebcacb8b036d5d2b064b161e12fbebb.jpg

Video:

Au ndio yale yaliyosemwa kuwa, "Z'bar pawaka"...Wahariri wa Mawio wasaidie polisi kueleza juu ya chanzo cha moto huo ni nini.
 
Kiponda, Zanzibar - Majengo mawili yanaungua moto sasa hivi!

Eneo hili lina skuli, Makao ya waislam madhehebu ya shia na hoteli

eebcacb8b036d5d2b064b161e12fbebb.jpg

Video:

Inawezekana Papa Francis Anajibu Maombi Ya Seif Shariff Hamad Na Labda Huo Moshi Hapo Unaotokana Na Moto Anamwambia Kuwa OMBI LAKE LILE HALIWEZEKANI HIVYO ARUDI UPESI KTK MARUDIO YA UCHAGUZI Wa Urais Visiwani Zanzibar.
 
Ninaomba ajali hii iwaache watu wakiwa salama.

Anayejua chanzo cha ajali hii atuambie. Ni umeme ama nini? Ni ajali ya bahati mbaya ama imetengenezwa? Tunaomba taarifa kwa mwenye kujua tu.
 
Back
Top Bottom