ajira ni muhimu hata kama ni october mwakani wataajiri tu na haijarishi ni art au sayansi wote wataajiriwa kama wa art wangekuwa hawaitajiki basi vyuo visingekuwa vinawachukua lakn mpaka leo vyuo vipo na vinawadahiri , kama huna cha kusema bora usiwachokonoe wenzio usikie watasema nini muda...
ajira zenyewe zipo 2 ijapokuwa kunatetesi kibao mtaani kuwa mwezi wa tisa zitatoka, na baadhi ya watu wanazungumza kwa kujiamini kabsa wakisema halmashaur zimeshapewa taarifa kuhusiana na ajira hizo za mwezi wa tisa ili wajiandae.
hivi ww umeona thread inahitaji ushauri? hilo ni swali kama huwez unakaa kando na sikila anae weka ni mwalimu no tunawasaidia tu walimu kama ww hivyo wanao sumbua mitaani.
Nikweli kuwa walimu wa diploma waliomaliza chuo mwaka huu na wadegree watakaomaliza mwaka huu kuajiriwa kabla ya uchaguzi? Msaada wenu tafadhari wana JamiiForums.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.