Taja chuo unachopendekeza Mh. Rais ashtukize

Taja chuo unachopendekeza Mh. Rais ashtukize

udom sasa kina tatizo gani aseeh/?mi nikajua st joseph ndio itakuwa na shida sana ya kutembelewa na magufuli
 
Watendaji wabovu serikalini ni matokeo ya elimu yetu huko vyuoni, eti mkufunzi anakwambia future yako iko mikononi mwangu. Dr Magufuli, our education is the root cause of all these upuuzi unaoendelea sasa huko maofisini. Just imagine kama mtu anafaulu kwa kununua pepa ama kwa mbinu zingine pasipo kusoma na hatimaye anafanikiwa kupata post ktk ofisi nzuri na mshahara mzuri, kwake kupokea ama kutoa rushwa inakuwa kama kusuma mlevi maana amezoea hivyo. Naamini mzee wetu Lowassa aliona uzito wa hiki na kuja na kipaumbele cha Elimu Elimu Elimu.
Huko vyuoni watu hawafundishwi tena kufikiri na kutatua matatizo kwa elimu wanayoipata, kilicho baki kwa sasa ni kukariri na kuiba mitihani.
 
ktk vyuo vyenye uongozi mbovu tanzania hii nahisi Udom inaongoza
 
Back
Top Bottom