Kheri ya Mwaka mpya Mzee Mtambuzi. Bahati iliyoje kwamba mimi nimo katika hilo kundi la theluthi moja ya wale tusiotongoza ama kutomasa wafanyakazi wenzetu tulionao katika ofisi moja.
@Kamanda Francis habari za Nyansurura? Nikija kwenyebandiko lako mbona kama umetaka kuchanganya madawa katika hii habari yako.Mbunge wetu(Na mimi huko ndiko nyumbani) Dkt. Kebwe amekuwa mkimya sanakatika vikao vya bunge mimi binafsi sijawahi kumshuhudia akichangia hoja yenyemashiko na maslahi ya...
Yona Joseph ninamfahamu vizuri sana ni homeboy wangu. Nina shauku ya kujua sababu zilizomsukuma kutoa tamko hili na ningeweza "kubet" sababu za yeye kutoa tamko hili lakini kwa leo sitasema chochote hadi nitakapoongea naye.
Ndugu yangu na mdogo wangu Nyakarungu sina sababu yoyote ya kumung'unya maneno katika hili, hii kazi unayofikiria kwamba unaweza kuifanya umeshashindwa kabla haujaianza. Huu muda unaotaka kupoteza pengine ungepaswa kuutumia kwa ajili ya shughuli nyengine za uzalishaji mali lakini bahati mbaya...
Kwangu mimi ukimya wa Mwenyekiti na Katibu Mkuu juu ya sakata hili ni jambo zuri sana kwa afya ya chama na uhuru wa kutoa maoni kwa wananchama wa Chadema. Unless kama kutakuwa na mmoja kati ya wahusika yaani watoa shutuma na mtuhumiwa wataamua kumuandikia Katibu mkuu kama waraka huu wa Zitto...
Ile ripoti kama mtu ameisoma kwa makini kabisa utaona kuwa kuna mambo mengine yako wazi sana wala hayahitaji uchunguzi ama kukanushwa. Kwa mfano kuna watu wametajwa kuwa walikuwa wanatumiwa fedha, zimetajwa tarehe na kiwango cha pesa walichokuwa wanatumiwa. Hadi sasa sina taarifa yoyote kwamba...
Piga kazi kamanda Djumbe wala usiogope mikwara mbuzi ya Lameck Madelu kwa kamanda mwenzako Jesca Kishoa. Kwa namna mwigulu anavyotapaatapa hadi kuanza kumtishia Jesca ni dhahiri kuwa maji yamemfika shingoni na hana namna ya kujinasua ni lazima azame mtoni hata kama anajiita mamba basi uwezo wake...
Shelui lakini huyu Lema unayedai kwamba haijengi Chadema si ndiye huyu anayewahenyesha ccm Arusha hadi amewazidi nguvu? Matokeo ya uchaguzi wa udiwani ambapo ccm mliangukia pua si ilikuwa ni matokeo ya kazi nzuri ya kuijenga Chadema inayofanywa na Lema, sasa wewe unawezaje kuthubutu kudanganya...
Sasa uache mchezo wako wa kuibeza Chadema inapokuwa inaishughulikia ccm na serikali yake kwakuwa wewe mwenyewe unakiri kwamba ni chama makini kwakuwa kinaitambua na kuienzi historia ya mashujaa wa harakati za ukombozi barani Afrika.
Pengine sasa ni wakati muafaka kwa waziri Nchimbi kuliagiza jeshi la polisi kuwapatia ulinzi hao jamaa wa gazeti la Jamhuri kwakuwa wauza sembe ni watu hatari sana na wanaweza kuamua kuwashughulikia ili kujinusuru na kadhia hii ya kujulikana na jamii na hatimaye kukamatwa na kufikishwa mbele ya...
JKT imeendelea kuchukua vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi na sekta mbalimbali kila mwaka tangia mwanzoni mwa 2000s, kilichofanyika sasahivi ni kuweka sheria ya kuwalazimisha wahitimu wote wa kidato cha sita kupita JKT kwanza kabla ya kuingia vyuo vya elkimu ya juu.
Wapo vijana wengi sana...
Nadhani gazeti la Jamhuri wameamua kuongoza mapambano ya wazi dhidi ya madawa ya kulevya na wanastahili kuungwa mkono na watanzania wote. Na hapa ndipo vyombo vya dola vinatakiwa kuanzia kufanya kazi. Pamoja na kwamba siungi mkono kabisa dhana ya vyombo vyetu vya dola kutaka kila mara wananchi...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuteua na kuchagua. Alichoulizia mwana-CCM mwenzako ni katika hizo nafasi za kuteuliwa kama zimezingatia weledi wa kitaaluma na pengine lingekuwa jambo la busara sana kama ungejielekeza kumuelewesha sifa za kitaaluma za hawa wateule wa CCM.
Ndugu wanaJF.
Kwa niaba ya uongozi wa Chadema kata ya Ukonga ninapenda kutumia fursa hii kuwakaribisha katika mkutano wa hadahara utakaofanyika jumapili hii tarehe 04/08/2013 kuanzia majira ya saa 8:00 mchana katika mtaa wa mazizini Kata ya Ukonga Jimbo la Ukonga. Mkutano utafanyika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.