Recent content by Nyafwili

  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania KERO Najilaumu sana kusoma Chuo Kikuu Huria, maana hakuna wa kukupa msaada unapokuwa na shida ya kitaaluma

    Komaa tu umalize mkuu, hayo makosa yarekebishe mpaka yaishe. Sasa huoni kama we ndo unaonekana ni mjinga? 🤔 🤔
  2. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Akili za wanawake ni changamoto!

    Ukifuatilia zaidi, huyo mwanamke nyumba atakuwa tayari amesha iuza 😄😄😄
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Hapana baby nitakutafutia ka-housegirl, ili usihangaike, sijui mara kuungua mikono. Ili wewe ujikite zaidi kwenye maandalizi ya chakula changu pendwa. 😋😋😍😍
  4. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Sana aise, ndo maana nataka nikuoe fast ili madogo waaze kuitembelea home. 😊😊
  5. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Bahati mbaya mimi ndo mkubwa kwenye familia baby 😍😍.
  6. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Baby Seran, Udhaifu wangu ni kwako tu 😍😍
  7. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Ni ujinga tu mkuu, yani hata mzigo unakuwa hauli vizuri kabisa. Mda unatamani mzigo upigie sebuleni but inakuwa ngumu 😅😅😅.
  8. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Wapo mkuu, vijana wana roho ngumu sana
  9. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Huwa nashangaa sana watu wa aina hii.
  10. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Vijana Wengine wamefika mbali zaidi, wameamua kukaa ukweni 🗑️🗑️🚮🚮
  11. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania HOJA Askari Polisi Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

    Baadala aende kwenye ma-group ya mapolisi kutoa kero, ameamua kuja kwetu uraiani kwa wanyonge. 🤒🤒
  12. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Chanjo wanazochomwa watoto kwa kila nyumba ni kwa ajili ya nin

    Taarifa umesikia vibaya, Ni matone ya chanjo, na siyo sindano.. Kazi ya chanjo hii ni kudhibiti virus aina ya polio type 2.
  13. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

    OK baby, ❤️❤️
  14. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

    Nimekumis ujue mpenzi, nashangaa hujatekeleza ile issue yetu 😍😍
Back
Top Bottom