Duuuhhhh.
Habari mtoa maada. Mpaka leo hii hakuna ushahidi wa dunia kuwa si tambalale na inazunguka...?
Na kwamba jua, mwezi na nyota tuzionazo ziko karibu tu hapa...?
Unajua ni kawaida ya binadamu anapokosa majibu, kujitafutia chakumfariji.
Kubashiri kuhusu mbinguni, kunasababishwa na ukomo wa mashuhudio ya binadamu juu ya uwezo wetu wa kuona au kugundua sehemu zingine ambazo zinaweza zikaweko huko kwenye anga.
Hata mwandishi huyu aliyeandika huo uzi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.