Recent content by Nyadundwe

  1. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Usicheze na Israel tafadhari, shauri yako

    CCM nao ni Maisraeli?
  2. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Jumuiya na madhehebu ya kikristo karibu yote makao makuu ni Nchi za ulaya Magharibi. Kisiasa hawanufaiki na Urusi

    Kama dini walituletea tukaipokea na kuielewa. Na elimu tukaelimika. Na mahospitali na huduma mbalimbali tukawa na afya ya mwili na akili. Ni kwanini bado tunawahitaji? Anyway, tuache kufikiria kuna mjomba wa Saudi Arabia au Vatikan atatuletea maendeleo kwa sababu tuna dini au mrengo wa huyo...
  3. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Umeandika "Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest country". Hii inaonyesha haupo serious. Ungetueleza kuhusu huko kusafiri nchi ulizotaja kumekuwezeshaje kufikia uweledi wa kwamba Mtu mweusi hawezi kuongoza.
  4. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujacheza, tunataka mtwambie kwa nini mechi ya tarehe 15/06/2025 Iliahirishwa, na kwa nini tucheze kesho?

    Kama hujui mechi hii ilipangwa kufanyika Tar 08/03. Anzia huko.
  5. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwamba Makonda hana uwezo wa kuwa Kiongozi ni mtazamo wako, sio wake. lakini sababu za mtu kupenedelea kuwa Mbunge badala ya RC ni pamoja na 1. RC anateuliwa, na anamuwakilisha aliye mteua. Anaweza kuondolewa wakati wowote pia 2. Mbunge anachaguliwa na anawakilisha wananchi 3. Mbunge ana job...
  6. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mabasi wako Juu ya sheria za Barabarani?

    Wakati mwingine ni kuchukua hatua, sio kuwaachia polisi. Unakuta basi lina watu 50, dereva mmoja anawapelekesha mwendo wa hatari, lakini hawachukui hatua yeyote.
  7. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunawazidi Waarabu kwa mbali sana ila ajabu sisi ndio tunawahusudu wao zaidi!

    Sisit tumeunda CCM, Yanga na Simba, wao wameunda nini mapaka watuzidi?
  8. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa hesabu na sayansi tupeni ufafanuzi wa jambo hili

    Dunia sio Tambarare, ni Sphere. Kwa hiyo hakuna straight line. Mzunguko ni mkubwa zaidi Ikweta, kuelekea poles.
  9. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Sio kweli. Sabau ya vita ni wizi wa madini Kongo ambao unafanywa na Ulaya kwa kuwatumia Rwanda na Uganda
  10. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Kama wewe mtumishi wa umma usijisahau, ndani ya hii miaka miwili lolote linaweza kutokea. Naiona redundancy kabambe inakuja

    "Misaada" inayokwenda kwenye budget ya maendeleo huwa ni mikopo, tena inayolipwa kwa Riba kubwa. Ndiyo maana mpaka sasa deni la Tanzania nje linafikia takriban TZS 85.9 trillion. Grants, yaani missada ambayo hatupaswi kulipa mara nyingi inakuwa midogo sana ukilinganisha na mikopo. Nayo huemda...
  11. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

    Mafanikio gani? Uwongo mtupu! Tupo tulioishi nyakati hizo Msingi Mbovu kabisa wa Taifa ukijengwa.
  12. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Usiongelee sana wazee wa Zamani, hao walikula vyakula tofauti na hivi vya "Kisayansi na technologia". Kutokana na sababu za kibiashara na ulafi wa makampuni makubwa, vyakula vimebadilishwa na sio salama tena. Mbolea, Madawa, Mbegu, GMO nk. Vyakula vyote, including mihogo na viazi vitamu, sio...
  13. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Madhara ya vita sio lazima yatokee vitani. Vitani watu wanafanya mengi, wanafanyiwa mengi na wanaona Mengi. Inaweza kuchukua muda ... Kutafakari, kuapata maoni/maoni mapya nk. Na kwa kubandika hapa, kunanini cha kujifunza, kwamba ukilewa utakufa usingizini?
  14. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Mfichie aibu yake, sio kuitangazia Dunia. Huenda ni madhara ya vita. Vita vina mambo mengi!
  15. Nyadundwe

    JamiiForums Tanzania Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Hakuna serikali ya Tanganyika wala Raisi wa Tanganyika, Ashukuriwe au alaumiwe Nyerere. Wazanzibari wana haki ya kumchagua Raisi wa Tanzania, kwa sababu nao ni sehemu ya Tanzania.
Back
Top Bottom