Hawa angalau vyoo sasa hivi wamerekebisha imesalia kwa majengo na mlundikano wa magari chakavu mbele ya Kinondoni Center inakuwa kama dampo la magari chakavu!!
Kabisa! tenzi za rohoni huwa na uzito wake katika simplicity unapopiga guitars zote iwe solo rhythm au bass ukizidisha mbwembwe tu sijui ma-diminishes na ma-complicated arpeggios utamu unaondoka...
Ni wakati wake wa kibali dogo kwa Jina la YESU
Wafanyabiashara, wanunuzi na madalali wa viazi, viazi aina ya Tigo vinapatikana kwa ajili ya kuuzwa eneo la Suma Secondary, Rungwe – Mbeya.
Aina: Tigo
Eneo: Suma Secondary, Rungwe
Ukubwa wa shamba: Ekari 5
Hali: Viazi vina afya nzuri, ni vikubwa na vina ubora mzuri, kama mnavyoviona kwenye...
Grooves za kawaida tu sema kaweka mbwembwe. Hizo Grooves za ku-render choruses huwa sio ngumu...Sema ndio appeal for audience preference ila kwa tunaojua muziki ni grooves za kawaida tu kimuziki!
Wakazi na wadau wa Jiji la Dodoma, kuna jambo ambalo kwa kweli linahitaji majibu na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika.
Ukipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, ikiwemo NSSF, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), mfereji wa eneo la Soko la SabaSaba karibu na Nabaki Africa, Chako ni...
Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media.
Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na kuanza kuelewa vizuri hisia, tabia na matarajio ya audience wanayoihudumia.
Dunia imebadilika...
Kuna watu kazini wamegeuza vyeo kuwa mali yao binafsi.
Ukiona mwenzako anastahili kupanda cheo, badala ya kumuunga mkono, unaanza figisu, kumzuia, kumchafua au kutengeneza mazingira ya yeye asipate nafasi.
Lakini kuna jambo moja mnalisahau:
Kumzuia mwenzako kupanda cheo hakumaanishi...
Kamwene,
Huu ni ushauri wa wazi na wa kujenga kuhusu suala la usafi wa barabara za Dar es Salaam, hasa katika maeneo yenye shughuli nyingi za ujenzi, biashara na makazi.
Moja ya changamoto inayoonekana katika barabara nyingi za Dar es Salaam ni matumizi makubwa ya watu kufagia barabara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.