Recent content by Nyachumwi

  1. Nyachumwi

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Wakuu mimi natafuta mashine ya kusaga na kukoboa mahindi ya umeme na iwe na option ya kutumia mafuta. Nipe connection ya kuipata na bei zake
  2. Nyachumwi

    Naomba ushauri wa vazi la harusi

    Asante kwa udhauri mkuu
  3. Nyachumwi

    Naomba ushauri wa vazi la harusi

    Maduka yapo wapi mkuu usichoke
  4. Nyachumwi

    Naomba ushauri wa vazi la harusi

    Wakuu saalam nyingi kwenu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu. Kijana mwenzenu nimekata shauri ya kuwa na mke hivo nimeanza mchakato wa kufunga ndoa. Ninaomba ushauri wa rangi nzuri ya suti na viatu. Pia na maeneo ya kupata pete kwa bei ambayo ni affordable. NB. Mimi kwa...
  5. Nyachumwi

    India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Tunaambiwaga sisi tuliopo chaka muvi zinabeba uhalisia wa maisha ya jamii husika, kwa mantiki hiyo naona wahindi wanaweza mapenzi tu lakini sio combat.
  6. Nyachumwi

    India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    India kama muvi zake na mastarling wao wako vile basi wanafaa kupigwa tu hamna kitu.
  7. Nyachumwi

    Kila linapo fika hili tangazo la mdada wa Tigo mke wangu anabadilisha Chanel

    Nilijua ni mimi tu huyu mdada ananichengua.
  8. Nyachumwi

    Msaada tatizo la kompyuta

    Asante mkuu ngoja nijaribu
  9. Nyachumwi

    Msaada tatizo la kompyuta

    Kimegoma mkuu
  10. Nyachumwi

    Msaada tatizo la kompyuta

    Nimetumia Partition Master Free mkuu. Mkuu umenitisha ina maana haka kathinkpad ndo kamekufa?
Back
Top Bottom