Nimetumia Partition Master Free mkuu.Kufanya partition kwenye Local Drive , hasa system drive yenye OS kwa kutumia third-party software ni kitendo cha hatari na unatakiwa uwe unakifanya kwa tahadhari kwa kufanya Backup kwanza.
Ulitumia software gani kufanya partition? Na je una data za muhimu sana ambazo zipo kwenye hiyo drive?
From JF App
basi kipige window upya tu hakuna namna mkuuKimegoma mkuu
Kufa haitakufa. Ila unaweza kupoteza Data maana kama itakataa kufanya recovery itabidi upige windows na kupartition upya wakati unapiga windows.Nimetumia Partition Master Free mkuu.
Mkuu umenitisha ina maana haka kathinkpad ndo kamekufa?