Iko tofaut na za wengine na ndio walicho kionaa kwani wameajir watu wengine kwenye NGO niliyo nafanya kibarua kulinganisha payslip hazilandani kabisa mkuu .. sijajua mpaka Sasa my wayfoward ili niilinde position yng maana wenzangu nilio piga nao niterview wameanza kazi
Yaaa nilikuwa ni kibaruaa na malipo yangu yalikuwaa ni ya kulipwa kwa kupitia JDR system na sikuwa na contract .. contract zetu zilikua ni za miezi mitatu mitatu
Sorry guys nilifanya interview na NGO flani na nilifanikiwa kupitaa na waliniomba nisubmit baadhi ya documents na salary slip ...but pale ninapo fanyia kibarua walinitengenezea salary slip iliyo zua utata kwa Hawa waajir wapya je nifanye Nini ili nafasi yangu iwe salamaa??
Sorry nataka kujua jee ni Haki kumpigiaa HR simu baada ya zoezi la oral interview? Na je baada ya oral lazima wakupigie simu if umekosa au umepataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.