Baada ya usaili ni sawa kumpigia simu HR

Baada ya usaili ni sawa kumpigia simu HR

nyachia

Member
Joined
Mar 17, 2015
Posts
43
Reaction score
3
Sorry nataka kujua jee ni Haki kumpigiaa HR simu baada ya zoezi la oral interview? Na je baada ya oral lazima wakupigie simu if umekosa au umepataa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie mkuu ujue mbivu na mbichi mapema
 
Back
Top Bottom