Jee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi huwa hawaitwi zaid huandikiwa mailJee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo email inamtaka kuelezea nini,kuna kazi niliona wakidai wanataka hadi email ckujua umuhimu wake kumbe ndio ivyo