Salary slip

nyachia

Member
Mar 17, 2015
43
3
Sorry guys nilifanya interview na NGO flani na nilifanikiwa kupitaa na waliniomba nisubmit baadhi ya documents na salary slip ...but pale ninapo fanyia kibarua walinitengenezea salary slip iliyo zua utata kwa Hawa waajir wapya je nifanye Nini ili nafasi yangu iwe salamaa??
 
Ungeelezea vizuri hiyo payslip uliyopeleka Ina utata gani ndio ungeweza kusaidiwa.
Na pia ni vizuri ungeelezea hiyo kampuni ya awali uliajiriwa kisheria kabisa au ulikuwa Kama kibarua?maana Kama ulikuwa kibarua itakuwa ngumu sana kuwadai wakupe payslip.
Na kingine Cha muhimu je wakati uliajiriwa kwenye hyo kampuni ya awali hukupewa mkataba ambao unaonyesha kiwango chako Cha mshahara?
 
Yaaa nilikuwa ni kibaruaa na malipo yangu yalikuwaa ni ya kulipwa kwa kupitia JDR system na sikuwa na contract .. contract zetu zilikua ni za miezi mitatu mitatu
 
Ulikuwa unaingia kwa maneno tu hakuna maandishi yoyote ya kuonyesha kuwa ulikuwa mfanyakazi
 
Dah hapo kuna kazi!
Hyo payslip uliyopeleka Ina shida gani
Iko tofaut na za wengine na ndio walicho kionaa kwani wameajir watu wengine kwenye NGO niliyo nafanya kibarua kulinganisha payslip hazilandani kabisa mkuu .. sijajua mpaka Sasa my wayfoward ili niilinde position yng maana wenzangu nilio piga nao niterview wameanza kazi
 
Lakini wakati unaomba kazi kwenye cv yako uliwaambia ukweli kuhusu mazingira ya kazi yako yaani title lako?
 
Kama uliweka Kama internship cdhani Kama Hilo litasumbua
We waaambie kwann iko tofauti wengine Kama inawezekana wape na hiyo mkataba mmojawapo wa miezi miatatu mitatu wajionee maana kana iko tofauti wanadhani umefoji
SI mbaya ukiwapa na mawasiliano ya boss wako unakofanyia au wahusika ofisi yamhasibu bila shaka
 
Yaaa nilikuwa ni kibaruaa na malipo yangu yalikuwaa ni ya kulipwa kwa kupitia JDR system na sikuwa na contract .. contract zetu zilikua ni za miezi mitatu mitatu
Mkataba ulikuwa nao. The contract can be implied or express
 
Back
Top Bottom