Chadema, wamsikilize Afande sele, ikifikia hatua hiyo chadema, itakuwa imeisha!
mbeya mjini ccm mkilichukua hill jimbo nitaacha kufuatilia siasa, hats ikiwa mbilinyi hajafanya chochote, vipi majimbo ya mtama, bunda, kyela, urambo, bariadi kuna kitu kimefanyika?