Recent content by Nyabhandu

  1. N

    Tetemeko la ardhi limetokea Babati mkoa wa Manyara, hakuna madhara yaliyoripotiwa

    Tetemeko la ardhi limetokea Mkoani Manyara , Babati Leo hii. Lakini halikuwa na madhara lilikuwa dogo na kwa muda mfupi
  2. N

    kilimo/ufugaji Bora wa Samaki

    Swali rahisi tu, vifaa alivyo sema vipo au havipo ?
  3. N

    Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

    Omdoeni mambo yenu ya hovyo mtaongea Mengi kuhusu Mbowe hamtafanikiwa. Tengenezeni kashfa mwisho mtaacha hatukatishwi tamaa wala hatutatoka kwenye mstari, CHADEMA mpango mzima
  4. N

    ACT-Wazalendo yafafanua kuhusu uteuzi wa RC Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira

    Swala la odinga hapa haliwezi kulinganishwa na yanayoendelea ACT na CCM pitia katiba ya Kenya na Tanzania kisha toa maoni, hapa hatetewi mtu au chama swala ni uhalisia, Kutekeleza ilani ya chama chochote eti kwa sababu zote ni kwa ajili ya wananchi. Tanzania uchaguzi wetu hubebwa na ilani za...
  5. N

    Sitaki kuamini kama Zitto anatoa ushirikiano kubakwa kwa ACT

    Chadema afuate nn ? Niwakati wa yeye kurudi CCM rasmi aungane na wenzake, chadema atasugua bench sana maana haaminiki na walio wengi ndani ya Chadema na hii hamahama ya waliohama nae Chadema na kurudi CCM inadhihirisha kuwa mpango wa kuibomoa Chadema ulikuwa wa kweli na hakuonewa/hawakuonewa...
  6. N

    Sitaki kuamini kama Zitto anatoa ushirikiano kubakwa kwa ACT

    Uteuzi wa Mbunge na hizo post za Mrema, Kitila Mkumbo na Anna Mgwira ni tofauti. Unapoenda bungeni hupangiwi cha kutekeleza/kutenda lakini nafasi za hao wengine ni zakiitikadi na lazima ufuate ilani ya chama kilichopo madarakani ambacho ndicho kimekupa madaraka/uongozi. Vinginevyo kama James...
  7. N

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Natamani wote waliotajwa wamshitaki kama Makonda washimshtaki Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  8. N

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Simu ya nani inakuwa kama inapigwa picha ya kwangu au ile ninayotaka niscan code zake ?
  9. N

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Simu yangu ndio inakuwa chini au simu ninayotaka kuscan code zake
  10. N

    Huyu mdudu anaitwaje?. Je, ana madhara endapo amekung'ata?

    Kwa alivyo tu lazima awe na madhara tena makubwa sana
  11. N

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    [emoji23] [emoji23] kama mnaona miambili ni kubwapigeni mbizi
  12. N

    Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Maandiko matakatifu watuasa wanaume kuishi na wake zetu kwa akili, hivyo basi pamoja na matusi yote msamehe bure hajui atendalo
  13. N

    Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Kama Hawa walimu hajapandishwa madaraja tangu rais aingie madarakani na hawajalipwa malimbikizo atatoa laptop au milioni 50 ili serikali imetumia hela za Kagera ambazo zilikuwa maalumu kwa maafa ?
  14. N

    Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Serikali ipo kwenye mchakato na upembuzi yakinifu hahahahaha, ile ilikuwa kampeni tu na namna ya kupata kura
  15. N

    Chaguzi ndogo ni kipimo cha kukubalika kwa serikali ya CCM

    Tume itaondoka kwa Maandamano na kwa baadhi ya watu kumwaga damu au kufungwa hivi hivi tusahau
Back
Top Bottom