Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Sasa uchaguzi mdogo unaokaribia kufanyika hivi karibuni ndio utamaliza ubishi wote kama mheshimiwa anafanya kinachotakiwa na kusaportiwa na wananchi au laah.. kama anafanya kilicho sahihi kwa wananchi au watanzania basi ubunge na viti vingi vya udiwani vitakua vya sisiem ila kama anafanya vitu vinavoumiza wananchi kama wapinzani wanavodai basi atakosa viti hivi na ndio itakua kipimo cha anguko la hiki chama 2020.
My concern: wananchi wa maeneo yatakayokua na uchaguz mjitokeze kwa wingi na mchague viongozi mnaovutiwa nao kwa sera na mikakati bora ya maendeleo.
My concern: wananchi wa maeneo yatakayokua na uchaguz mjitokeze kwa wingi na mchague viongozi mnaovutiwa nao kwa sera na mikakati bora ya maendeleo.