Recent content by NY3

  1. NY3

    Kama askofu Pengo amewasaliti maaskofu, Lipumba amewasaliti waislamu wote?

    Paul Makonda na uhakimu au upelelezi juu ya GWAJIMA.....!!
  2. NY3

    Blackberry wametisha sana kwenye BlackBerry 10 OS 10.3.1

    Nitajaribu siku moja kutumia iyo bb maana mm nipo ktk iPhone tu
  3. NY3

    Wafahamu kwa sura zao na sifa zao wabunge waliosimama kuwatetea watuhumiwa wa ESCROW bungeni

    Unajua siku zote Mwiguli Nchemba nilizani mawazo yake ni kama ya Lusinde kumbe si ivyo ktk hili Nchemba ameonyesha uzalendo ila huyu LISINDE hana uzalendo na hii yote ni kutaka kupendwa mbele ya wezi walio ktk CCM ALAANIWE LUSINDE
  4. NY3

    Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Nyungunyungu akili TOPE tupu wewe
  5. NY3

    Chenge Afunika Rasimu ya katiba pendekezwa

    Kingukitano umelogwa wewe unahitajika msaada wa haraka ili tuokoe akili zako....!!
  6. NY3

    Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

    Wapo humu ndani wanaosema uongozi uliopo ni bora sasa sioni sababu ya kulalamika wakuu kama vipi 2015 tuwaweke pembeni maana kama umeambia mguu wako umeoza kwa nn husiuondoe japokuwa inaumiza lkn hakuna jinsi ukate tu
  7. NY3

    Unauonaje uvaaji huu wa nguo?

    Ushoga ktk magereza wao wameshindwa kujitambua tu
  8. NY3

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Ningejua imani yako ningekuuliza maana imani fulani ktk maandiko yake sehemu fulani imeandika YULE ALIYONACHO ATAONGEZEWA na yule AMBAYE HANA KITU ATANYANG'ANYWA NA HATA KILE ALICHOKUWA NACHO......aaaaaaaaaahh kwa heri
  9. NY3

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Aaaaaaah..... Sasa wewe unazani mtoto wa gwiji wa Reggae duniani atafanya nn zaidi ya kuwa musician?
  10. NY3

    Nina Laki 3.5 Natafuta Laptop

    Kwani MASTA wewe moro sio mwenyeji sana na hakuna Maduka ya used ya Lap Top huko?
  11. NY3

    Nina Laki 3.5 Natafuta Laptop

    Hata mm naelewa ivyo PC ni Desk Top cjui wenzangu labda yawezekana cc uelewa wetu ni mdogo tusaidieni utambuzi zaidi!!!!
  12. NY3

    Alshabaab/Anti balaka/Boko haram/Ukristo/Uislamu na Ugaidi

    Kama wewe ni mtu wa imani ya dini KIKRISTO au KIISLAM basi utajua ni nn kinachofuata baada ya hayo mambo yote!!!
  13. NY3

    Viongozi CHADEMA na uhusiano wa BOT

    Mkuu mbona uwezo wako wa akili hauna tofauti na mlevi aliyelewa GONGO!! Angalia kushoto na kulia kabla ya kuvuka barabara!!! Pumbuvu
  14. NY3

    Ridhiwani Kikwete: Asilimia kubwa ya waandishi wa Habari ni makanjanja

    Ni kweli iwapo ccm ikifanya kitu hata cha ovyo wao uwapongeza tu lakini upinzani ukifanya hata la maana wao hawalioni, WAAMBIE UKWELI HAO!!
  15. NY3

    MSAADA: Kwa waislam tu

    Aaaaaah MATOLA umenifurahisha sana na kunifumbua uelewa kumbe hawa jamaa wanapaswa kuzamisha dole ktk njia ya haja kubwa!!! Duuuh yaani hii kali
Back
Top Bottom