Recent content by nxon

  1. nxon

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    gari yangu ya kwanza ilikuwa IST 1490cc nikauza nimehamia kwenye PREMIO 1790cc gari ipo poa sana kitu ambacho nashangaa 1790cc iko na fuel efficient kuliko IST ya 1490cc najiuliza au kwasababu gari ni mpya bado
  2. nxon

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    F 1490cc X 1790cc G 1990cc
  3. nxon

    JamiiForums Tanzania TiGo nivushe mmeiba pesa yangu

    Habari ! Naitwa Nickson Kimambo naishi Morogoro mjini ni mtumiaji wa mtandao wa TIGO TANZANIA. no zangu ni 0717693927 Jana tarehe 26 december 2020 nilijiunga na kifurushi cha internet cha wiki kwa tsh 3000/- kwa njia ya tigo pesa, baada ya hapo nikaletewa sms kuwa kifurushi changu cha internet...
  4. nxon

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Ilikuwa inajulikana hamna jipya hapo
  5. nxon

    JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    acha kudanganya watu vpn zipo kibao app store hapa natumia iphone na vpn
  6. nxon

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    kuna uvumi mwingine huku eti ni recorded nishachoka sasa
  7. nxon

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    mbona aliwauwa aliowachukia wengine kupigwa risasi
  8. nxon

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    adui mwombee njaa tu hata kama alikuwa shujaa
  9. nxon

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    chuki humuumiza anayeifadhi
  10. nxon

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    huyo angel (malaika) atakuwa izraeli nn?
  11. nxon

    JamiiForums Tanzania Baaadhi ya wafanyabiashara nchini wanahujumu taifa, kitengo cha elimu kwa mlipa kodi TRA fanyeni Kazi ya ziada.

    mtoa hoja baada ya huo utafiti wa awali pia ungefanya utafiti uone ni kwann wanakwepa kodi na ungekuja na suluhu nini kifanyike hapo ungesaidia sio kuja kutoa lawama tu.
  12. nxon

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha kuibuka magazeti yanayomsifu sana rais!?

    wenye mamlaka hawataki kusemwa vibaya
  13. nxon

    JamiiForums Tanzania Mfungwa ni Binadamu na Haki si hisani! Conjugal Visit sio Starehe, ni Haki halali na stahiki ya Mfungwa!

    namuunga mkono rais magereza iwe inazalisha mali
  14. nxon

    JamiiForums Tanzania JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    JF imeanza kazi na mwigulu amecha kazi
Back
Top Bottom