Recent content by Nwaigwe

  1. N

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Wezi, wala rushwa, mafisadi ndiyo wanaomtukana mwana Mwema wa Africa. Ila Wapenda haki masikini na wanyonge tunamkubali
  2. N

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Labda kwa mafisadi na wezi ila kwa wanyonge Shuja, chuma, Jembe
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

    Ila Mama samia unajua anapokupeleka?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje ukifanya maandalizi kibao halafu mpenzi asitokee kwenye miadi?

    Mrudie Mungu acha uzinzi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

    Magufuli atasimama kuwa alama njema ya taifa hili na Africa kwa jumla. Ataendelea kuwa jembe, chuma na mwana mwema wa Africa. Aliwanyoosha mafisadi, wezi,wazembe na wala rushwa mpaka maji wakaita mma'Asante Magufuli. Wanaokutukana tunajua yaliyowasibu walahawatutishi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

    Mungu atusaidie tumpate mpenda wanyonge, mtetezi wa masikini na haki kama alivyokuwa Magufuli na kuzidi. Mleta mada utatukanwa humu na wale wezi, wala rushwa, mafisadi na waliotumbuliwa ila usijali shetani yupo kazini na kweli itasimama siku zote
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli aliwakumbatia Machinga?

    Magufuli alikuwa Mcha Mungu. Aliyetuambia tumtangulizeMungu. Kwenye corona alitaka misikiti na makanisa women, hakuifunga nchi. Akatutaka na akaongoza maombi ya siku tatu kuomba na kushukuru. Mpaka leo Mungu katuweka hai. MAGUFULI, jembe, chuma, mwanamwema wa Afrika
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

    Legacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

    Magufuli ni jembe, chuma, shujaa, mwanamwema wa Afrika. Uzuri tunajua nini alichowafanya ninyi wala rushwa, wazembe, wezi ,mafisadi, vyeti feki, watumbuliwaji. Aliwanyoosha mpaka maji mliita mma
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sina hamu na mahusiano (wamenikata stimu)

    Yesu na akutane na wewe. Amina
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Ni kweli watanzania wanyonge walio wengi hawako mitandaoni. Ila wanajua huyo mama kawatupa hana mpango nao. Kakumbatia wenye pesa masikini anawatoza matozo, hafuatilii matumizi wala makusanyo ya pesa zetu. Akipita kwenye viziara vyake vichache hasikilizi kero za watu. Yaani yeye hachangamani...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Utakuwa ulitumbuliwa au ni fisadi mwizi mlarushwa ukakomeshwa. Magufuli ni kipenzi cha wanyonge majority na si ww. Historia itamkumbuka mwana mwema wa afrika. Watoto wako watamsoma hatua kwa hatua. Kipi alichofanya na si propaganda. Mwisho umati uliomzika na ideology iliyokaa ndani ya mioyo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

    Mbona hajawahi kumtaja Mungu hata mara moja??
Back
Top Bottom