Recent content by Nuzulati

  1. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Sio mwenzio sema ni wewe umebakwa unaficha nini mkuu,ok kama umebakwa we mimi vinanihusu nini?
  2. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Naiomba kama unayo mi wiii🥰
  3. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Nimewaza hili🤔

    Nimechindwa kuja pm kwako kila nikijaribu ina goma.
  4. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Nimewaza hili🤔

    Kama nini nikusaidie mpendwa
  5. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Naomba nitumie nione yaliyomo yamo🐒
  6. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Nimewaza hili🤔

    Kusaidia tena mtu humu si subutu.
  7. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Haiti....shida ni nini hasa?

    Upo rafiki
  8. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Wote ukiwa angalia wana shida ya malezi.
  9. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Baby love ambaye ndio aliyeenda kumtembelea huyo rafiki yake bila kujua Kwenye ile nyumba kuna Majambazi ambao wanatafutwa kilichomponza ni kuchukua video Nimekuwekea video ya story kamili 👇🏼
  10. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Kuna dada huko tik tok kwa maelezo ya watu ni ana wafuasi wengi huko kwao Haiti kupitia mtandao wa tik tok.Akapata rafiki aitwaye Baby love urafiki ulikuwa mpaka kufikia kualikana hapo ndipo shida ilipo anzia.mkuu nimechoka kuandika we Google
  11. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Halafu huyo dada muuwaji jana alikuwa live tik tok hana hata hofu.
  12. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Marehemu hasemwi ila huyo dada ni tamaa zimempoza kwanza huyo dada muuwaji sura tu inaonyesha kutoa roho ya mtu sio shida kwake.
  13. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    Babu kama babu
  14. Nuzulati

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    Wewe mkuu zamani ulikuwa kapole sana siku hizi ni zaidi ya mchuzi uliowekwa ndimu
Back
Top Bottom