Recent content by nutrient Agar

  1. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Naamini matokea haya ya ACACIA serikali iliyajua kwamba tukitibua hapa impact inaweza kuwa hivi sasa Watanzania wenzangu shusheni pumzi tufanyeni kazi tuiaminini serikali yetu.katika hali yakawaida ni ngumu sana kumnyang'anya mtu chakula halafu akakuacha hivi hivi tu matokea ni kwamba kama ana...
  2. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanaume wakimuacha msichana humtumia SMS za karaha?

    Kujibizana kunakuza migogoro, kaa kimya tu Jovitha istoshe ukimya pia ni jibu kwa anaejielewa.
  3. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Kabisa espy.
  4. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

    Ila watoto wa siku hizi na wenyewe pia ni shida tu,pole Mwl check hasa uvaaji wako na matamshi yako.mwili mshukuru mungu tu maana ndivyo ulivyoumbwa usikufuru.
  5. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Kha!Mungu jamani mjue anawaona ndoa sio kitu cha mchezo mchezo.
  6. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Raha na karaha za kuoa mwanamke mzuri

    Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
  7. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake/wadada wanene

    Afadhali leo mmewapa promo, maana wenyewe walio wengi huwa hawajikubali,kwa promo hii na mimi natafuta kibonge
  8. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mtumishi wa umma hafukuzwi kwa kauli

    No it was 2009 sorry sio 2012.
  9. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mtumishi wa umma hafukuzwi kwa kauli

    Kwani sheria ya uhakiki imeanza juzi Mkuu? Fact ni kwamba ilikuwepo na kama uliweza kumuajiri bila kumhakiki hilo nalo ni tatizo,hii kitu ni shida bwana ngoja tuangalie tu maana nilisikia jana kwenye hutoba ya waziri Kairuki kuna kitu kinaitwa incomplete yaani mtaalam ameajiriwa kwa vyeti vya...
  10. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye tecno C7 used naihitaji aje PM tufanye mawasiliano ofa yangu 150k.nipo Dar na nipo tayari sasa hivi.
  11. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Nimegundua boss wangu ana vyeti feki

    The good revenge is God revenge, acha kuchuma dhambi ya kisasi na malipizi dhambi hiyo itakuandama tu kama sio wewe hata uzao wako
  12. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

    Tuombe samahani wenye vitz tafadhali, kwani sio gari? Mkigombania daladala mi napita tu na vitz yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Duh!umetisha sana
  14. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    Upo sahihi, Mkuu kitu ambacho wengi hawakijui kuhusu rais wetu ni uwezo wake mkubwa wa kusimamia maamuzi no matter yupo wrong au right,ni kweli Rc amekosea tena sana tu lakini tunakosea zaidi kusubiri rais amtumbue wakati ameshaonyesha msimamo wake,sasa ni nani wa kutofautiana na rais?Mimi...
  15. nutrient Agar

    JamiiForums Tanzania Maujanja ya kumzimisha demu na kutimiza haja yako

    Sasa Mkuu stunter sisi wapenda makelele wakati wa tendo, ukimzimisha ndo basi tena no bwebwe no sauti, full gogo dah!
Back
Top Bottom