Recent content by Nursalami Ng'oma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Muulize Aman Atakujibu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Mtambani Kinondoni waungua Moto

    Kwa hakika leo nimeamini kuwa waislam wa nchi hii ni wavumilivu sana. Ebu imagine kama kanisa lingeungua chukulia mfano kanisa la St Joseph, comment za wanzetu zingekuwa waislam hao wamechoma, na leo hii ungesikia waislam wengi wangekuwa wamekamatwa kwa tukio hilo, but to the moment no one of...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Dau akielezea Westadi na mradi wa Majumba ya kisasa Kigamboni

    Umeandika vizuri sana mkuu na naungana na wewe kuwa Dr Dau na Dr Kimei hawa watu ni wazalendo wa hali ya juu nchini kwetu, kazi yao inaonekana. Lakini ukiwahamisha hawa watu na kuwapeleka kwenye mashirika mengine yaliyodumaa ili kwenda kuyafufua ni hatari kwa kuwa itabidi kwenye mashirika...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Dau akielezea Westadi na mradi wa Majumba ya kisasa Kigamboni

    Mimi naongeza mashirika mengine yanayofanya kazi za kukusanya pesa kama NSSF ni PSPF na GEPF, Dr Dau ni kichwa huyu jamaa. Ukimjua mungu unafanyakazi kwa haki wizi mwiko. Kuna mijitu inamwonea kijicho.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

    Sheikh Mohammed said, huwa nijisikia furaha sana ninapokusoma ama kwa hakika elimu uliyosoma wewe haikuchakachuliwa kama hii tuliyosoma sisi na wengine wengi, ndio maana hakuna anayekupata kwa hoja zako zilizosimama. Kiatu chako hakuna kinachomtosha humu jukwaani ndio maana kila anayejaribu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waungwa nisaidieni, mtoto wangu ana miaka 3 sasa lakini haongei wa hawezi kula mwenyewe

    Heshima kwenu wote, Mimi na mke wangu hatuna furaha kabisa kutokana maendeleo ya mtoto wetu. Mpaka sasa hivi ana miaka 3 ajabu hawezi kuongea wala kula mwenyewe.Chakula analishwa na anakula vizuri, kama akiwa na njaa sana na chakula kikawekwa chini tayari kwa kuliwe,yeye husogea pale na kuanza...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa CHADEMA Lindi na Mtwara kuachia ngazi?

    Hii michadema bana Mbogambosa sana ,iko tumia damu ya ingine kunufaisha ile watu chache,acha bana sasa watu itoke yenyewe hiyo chama yenu inaumwa mavi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CHADEMA kwa hili tunajiumiza wenyewe

    Hawa chadema bana mbogamboga sana hii mitu hakuna kitu michwani iko inabaki lalama kama mbweha kule mituni.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Anayeona Posho Bunge la Katiba haitoshi, afungashe Virago!

    Kwanza hata hiyo laki tatu kwa siku ni nyingi sana.Walipaswa walipwe laki moja then malazi wangetafutiwa hostel za Udom
  10. N

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Wallahi kufuatia kutoka kwa ndalichako tumeanza kuona mabadiliko hebu tazamana Nyasaka Islamic, Kilinjiko Islamic, Mudio Islamic,Ubungo Islamic,Algebra Islamic, katoro Islamic,Taqwa,Darul alqam Morogoro,Daarul alqam dsm,just kwa uchache tu,lakini enzi za ndalichako ni balaa,sijui alikuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania KITUKO!!: North Korea confirms it has landed a man on the Sun Read

    Wangesema wamarekani au waisrael mmengeamini
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tazama saini za maafisa wa ikulu sakata la wapentekoste kutochaguliwa bunge la katiba

    Poleni sana Pentecoast kwa kubaguliwa,inaonekana mumeumia sana kwa tendo mlilotendewa.Sasa maumivu mliyopata ni madogo sana ukilinganisha na maumivu yanayowapata waislam kwa kubaguliwa. Afadhali hata nyinyi mmeheshiwa mmejibiwa lakini waislam wao huwa wanadharauliwa wala huwa hawajibiwi.
Back
Top Bottom