Recent content by nuraj

  1. nuraj

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Nahitaji kiwanja Kinyerezi au Goba, bajeti yangu milioni 5-10 size ya kiwanja kuanzia 700 sqm
  2. nuraj

    Majiji ya Tanzania bado yana safari ndefu kuifikia Dar

    Dar bado ina foleni za masaa??? Kutoka wapi kwenda wapi??
  3. nuraj

    Kwa walioanza kukatwa 15% ya Bodi ya mikopo

    15% imeanza kukatwa January ila inategemea na response ya taasisi unayofanyia kazi. Sababu ni kwamba mwajiri wako ni kama agent wa kukusanya makato hayo na kuyawasilisha HESLB, kwahiyo wepesi au uzito wake wa kutii agizo la kukata 15% ndio utasababisha uchelewe au uwahi kuanza kukatwa 15%...
  4. nuraj

    Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Alichosema Zitto juu ya Manji mwaka 2008
  5. nuraj

    Watumishi wamebebeshwa zigo la gharama za elimu bure

    8 Countries Where College Can Be 100% Free Jiongezee maarifa hapa juu ya elimu bure katika mataifa mbalimbali na ni nani anaigharamia hiyo "BURE"
  6. nuraj

    Watumishi wamebebeshwa zigo la gharama za elimu bure

    Siku zote ukiona serikali inatoa huduma fulani bure kaa ukijua kuna mtu anaigharamia hiyo "bure" , na mtu huyo anajulikana kwa jina maarufu kama "mlipa kodi". Na kadri serikali au mgombea anapokuahidi vitu vingi vya bure bure kutoka serikalini kaa ukitambua kuwa hiyo bure utailipia wewe mlipa...
  7. nuraj

    Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Teh teh....wewe unaokota kila kinachoandikwa humu na kukiishi..., funny!!
  8. nuraj

    Wizi wa mafuta Petrol Stations

    Hawa walishaniibia siku moja ila nilikuwa nawahi kanisani nikaachana nao.....niliapa tu kutojaza mafuta kwenye shell zao popote nitakapokutana nazo.
  9. nuraj

    COMPARE & CONTRAST: Turkish vs Chinese Infrastructure (SGR) loan to Tanzania

    Huko mwanzo ulishakataa kila kitu si kweli....ulikataa kitu ambacho hata hujakiona???
  10. nuraj

    COMPARE & CONTRAST: Turkish vs Chinese Infrastructure (SGR) loan to Tanzania

    Has nothing to do with kiswahili, it is logic.... 1. It is not true 2. It can't be true Kwa tafsiri yako jambo kama haliwezi kuwa kweli then si la kweli, unamaanisha hisia zako zikikutuma kuwa si kweli then hisia zako zinakuwa facts.....au sio???
  11. nuraj

    COMPARE & CONTRAST: Turkish vs Chinese Infrastructure (SGR) loan to Tanzania

    Mkuu, heshima na salamu kwako! Mkuu unajua tofauti ya sentensi hizi mbili hapa chini?? 1. Si kweli 2. Haiwezi kuwa kweli Sentensi mojawapo hapo juu huambatana na vielelezo vyenye ukweli halisi, Na sentensi nyingine hapo juu huambatana na hisia binafsi. Mkuu, kwa heshima na taadhima sana...
  12. nuraj

    Alichokifanya leo Rais ni mwanzo wa tafsiri halisi ya utajiri na maendeleo

    Watanzani wengi wanapenda kuona maendeleo bila kutaka au kushiriki gharama ya maendeleo yenyewe.....!!
Back
Top Bottom