Tunafanya mitihani! Wkt flan unashukuru kwa kile ulichopitia ndo kimetoka, kwa maana nyingine mtihani umeupiga.. Cha ajabu maksi ishirini, kumi. Nani aamini usahishaji wao, hata mitihani hatuonyeshwi, huu mchezo tu, wanauza ajira, kwa ufupi ni weziii.