hivi PSRS sio wasanii kweli!

hivi PSRS sio wasanii kweli!

nunu....

Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
7
Reaction score
1
Wana Jamii, nmeitwa wakati flani ktk usahili unaofanywa na PSRS na nkatoka patupu... nnashaka sana na watendaji wa hii sekretarieti, sina ushahidi hasa lkn nna hakika ajira zinauzwa pale, kuna mtu anaweza nijengea ujasiri kabla sijapanda basi! maana hii ni shinyanga-dar af unaenda kumbe watu washaajiliwa kitambo wanasubiri haka kaigizo kapite tu...
 
KAKA YANI NAVYO KUONA HUJIAMINI SIRAHA YAKO NI KUJIAMINI NA KAMA UMEJIANDAA VIZURI NA USAHIL BASI UTAFANIKIWA KAMA HUJAJIPANGA KAA TU USIPOTEZE NAULI YAKO BUREEEEEEEEE PIA SWALA LA KAZI NI MCHAKATO KAMA IPO IPO TU KAMA HAKUNA JUA HAKUNA TEH:nimekataa
 
Back
Top Bottom