Umedhihirisha ule usemi, "huna taarifa, huna haki ya kuongea"
Eti fedha za kigeni, yaani mtu aingie machakani huko na fedha za kigeni? Zipi?
Anayo account ya benki, ama iwe master/visa etc, anaingia kwenye atm zenu, Stanbic, Standard Chartered, Absa, CBA, NMB, CRDB, NBC, Equity etc, ana-draw...