Recent content by nundaz

  1. nundaz

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

    Hivi hawa watu wapo serious kweli na hili swala la mafuta?? kwamba kikao na Rais nso kimepitisha hilo swala?? Siamini hata!!
  2. nundaz

    JamiiForums Tanzania Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

    bro mimi ni dereva wa bolt hyo bei unayosema hapo ya bolt tujiulize wote 10000 hyo bolt wanakata 23.5%kama comision yao dereva anabaki na shilingi ngapi?? bolt wanaumiza sana madereva kwa kigezo cha kumjali mteja kitu ambacho sio sahihi, Latra wametoa bei elekezi na wamewaambia comision yao...
  3. nundaz

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

    mbona hamuelewi wakuuu??? kuombwa sio tatzo!! si kuna utaratibu wa kuomba hizo taarifa? shiida hapo ni kuwa utaratibu wa kuomba hizo taarifa za mteja hazifuatwa! mbaya zaidi hyo barua hata boss zake jamaa hawapitisha sasa itaaminikaje??? maana kila kitu kafanya yeye
  4. nundaz

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    hao wazungu uliowaonesha wewe hilo file???? Kama mnalipwa kutetee hao watawala si uchukue pesa harafu ukae kimya?
  5. nundaz

    JamiiForums Tanzania Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

    Unajua nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu. Hivi mtu una akili timamu kweli. unalinganisha kesi ya sabaya na kesi ya mbowe??? Sabaya aliumiza watu, alitorture watu na wapo na wametoa ushahidi na sio hao tu amedhulumu mtu milion 90 na kesi bado yaendelea!! mbowe amemdhuru nani??l hayo...
  6. nundaz

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Huwezi kumchukua aliyepata divisheni 1 ili akalinde benki au kucheza gwaride, lazima muelewe jamani

    ha ha ha ha ha ha ha aisee nimecheka sana!!
  7. nundaz

    JamiiForums Tanzania 2025, CHADEMA mmetuandalia siasa gani?

    pamoja na yote hayo mliyofanya bado mnawazuia kufanya vikao vya ndani? bado mnawakamata na kuwapa kesi za kutunga!! My take!! Waruhusuni waanze kufanya vikao vya ndani na nje kama nyinyi mnavyofanya harafu ndo muone maana halisi ya" UPEPO WA MABADILIKO"
  8. nundaz

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Hivi unaposema "uzalendo mkubwa" unakiwa una maaana gani mkubwa???? naomba kuelimishwa kidogo!!
  9. nundaz

    JamiiForums Tanzania Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    hoja nzuri sana hii mkuu!! akikujibu nitag hapa!! kuna muda unawaza hivi watu wengine wanawaza kwa kutumia nini???
  10. nundaz

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    mkuu unapoteza muda kumjibu mtu kajiunga JF juzi?????
  11. nundaz

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ha ha ha ha ha ha ha mwakakwaya mtiifuu kakutunuku tunda kimasiahara
  12. nundaz

    JamiiForums Tanzania Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

    pole sana mkuu!!! huyu mtu mnaishi naye sehemu moja?? kwa maana ya mkoa mmoja au kila mtu yupo mkoa tofauti???
  13. nundaz

    JamiiForums Tanzania Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Mkuu umeongea kitu cha ukweli mtupu!! hili lina ushahidi nalo kwa 100% kabisaa!! ukimpenda sana harafu akajua kuwa unampenda dharau zinaanza harafu anakuchukulia poa sana!!! nimeanza kulifanyia kazi kwa ubora zaidi
  14. nundaz

    JamiiForums Tanzania Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

    Huu ni ukweli mtupu, wenye pesa wanatafutwa na wanawake wengi!! Sasa hiyo ligi kama unaiweza ingia!!!
Back
Top Bottom